Planett
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 10,425
- 15,983
huyu jamaa nahisi atakua anachat na mnaijeria anaezuga ni muaustralia, siku akiambiwa atume nauli atakuja kuomba ushauri tenaSio mayahoo hao?
huyu jamaa nahisi atakua anachat na mnaijeria anaezuga ni muaustralia, siku akiambiwa atume nauli atakuja kuomba ushauri tenaSio mayahoo hao?
Nchi ipo poa sana ile, na watasha huwa hawana hiyo longolongoanaogopa kuishi na wakwe zake!
Endelea tu kua Mnyatiaji huenda ukaopoa.Nimekupata vyema bado tu kumpata huyo wa kumbadilisha uraia😄😄
Akipata na katoto akape jina la kikabila.Mkuu Hongera kwa kuopoa kifaa. Vema pia kwa mrembo wako kuchagua kuja kuishi Tanzania. Inahitaji moyo ujue.
Cha kufanya, mlete aje Tanzania. Funga naye ndoa halali inayotambulika kisheria. Kisha ndiyo muanze mchakato wa kumpatia uraia.
Kwanza, tambua kuwa nchi yetu bado haijaruhusu uraia pacha. Hivyo itambidi aukane uraia wa nchi yake ya Australia.
Mtaenda kwenye ofisi za Idara ya Uhamiaji katika mahali ulipo. Iwe wilayani, mkoani au Makao Makuu pale Kurasini.
Mtapewa fomu maalum ya kujaza. Mtajaza kwa umakini na kuirudisha. Mtaambatanisha vithibitisho kadhaa ikiwa ni pamoja na;
A)Kithibitisho cha Uraia wa mume
B)Cheti cha ndoa
C)Passport size za hivi karibuni
D)Kibali cha kuwepo hapa nchini
E)Makorokocho mengine
Mtajaza hiyo fomu na kuiambatanisha na kiasi cha Dola 1500 (USD). Kama imebadilika mtaambiwa.
Mkishajaza muhusika atatoa Tangazo mara mbili kwenye Gazeti la Serikali juu ya nia yake ya kuomba Uraia wa Tanzania.
Baada ya hapo ombi litapelekwa kwa Kamishna Mkuu wa Uhamiaji. Kama hakutakuwa na mapingamizi Baadae nae atapeleka kwa Waziri husika kwa kuhalalishwa uraia wenyewe.
Kila la kheri Mkuu.
DuhVijana wa Lagos wako kazini.
Mkuu unakaribia kuliwa kichwa na Yahoo boyz! Utaleta mrejesho hapa hivi karibuni.
Mie mwenzio hadi video calls zilihusika nikajua nimepata mpenzi wa kidachi kumbe laaah nachazeshwa na akina Yahoo boyz toka mitaa ya Lagos!! Nilikuja kuokolewa na ki anko changu na zile pesa nikaona bora nikanunue shamba.
Aolewe yeye?Kwa nini wewe usiende ishi Australia?
Usijali utapata, Wazungu wengi wamesha aanza kuja Tanzania, Wazungu Wanawake ndiyo wengi sana,na wao wanatafuta wenza wa race nyingine Kama wwe!!Nimekupata vyema bado tu kumpata huyo wa kumbadilisha uraia
Achana na wanawake wa nje wakati Hawa wa kwetu wanateseka.
Oa binti wa kitanzania mwenye kujua siasa za hapa kwetu, anaejua kuvaa khanga, mwenye wowowo na asiye chagua chakula.
Mnyatiaji endelea kunyatia utapata!!Nimekupata vyema bado tu kumpata huyo wa kumbadilisha uraia
Basi sawa,Napenda kuishi Tanzania
Mkuu umepata Mrundi?Habari za jioni wana JF! Nina mpenzi wangu anaishi nchini Australia anataka kuja Tanzania tuanze maisha, naomba msaada kujua taratibu za kufanya kumpatia uraia ili niweze kuishi nae Tanzania.
Australia ndo pazuri babu,,hata ikitokea vita ya nyuklia wale watapona,,wamejitenga mbali na dunia babu...Napenda kuishi Tanzania
Wapo Sayari gani?Australia ndo pazuri babu,,hata ikitokea vita ya nyuklia wale watapona,,wamejitenga mbali na dunia babu...
🤣🤣🤣🤣 hautaki wandengereko na wale wanaoishi chato ( joking)Babu niunganishie na mimi rafiki yake