Najiona Mimi
Member
- Aug 15, 2020
- 74
- 87
Kama kichwa cha habari kinavojieleza, napata tabu ya kun’garisha boot lang maana mwanzoni nilikua nafosi natumia kiwi ila sasa nikawa naona kama rangi yake inafifia.
Then nikaona niwe navifuta tu na maji kidogo kwenye kitambaa napo naona havin’gai vinafifia.
Wenye ujuzi wa viatu vya ngozi hii ya style ya timberland aangushe ujuzi wake.