Msaada namna ya kujiajiri.

Mfarisayomtata

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
474
188
Jamani mi natarajia kumaliza chuo kikuu mwaka huu B.A in Marketing lakini ndoto yangu ni kujiajiri na si kuajiriwa ila sasa tatizo sielewi nianzie wapi kama mnavoijua elimu yetu. Nipeni somo wadau. Nipo Mwanza.
 
Mkuu ni kweli watu wengi sana wamekuwa wana singizia vitu viwili kwenye ishu ya kujiajiri

1. Mtaji

2. Elimu

Ila kama kweli wewe un sprit ya Ujasirimali utaona vitu vyote hivyo si kikwazo cha wewe kushindwa kujiajiri,
 
Mbona kuna mshikaj wangu anuza batook{chewing gum) na alianza na laki mbili. Sasa kashafikia mtaji wa milion mbili na ana gpa ya 3.3 yeye alikuja survey moz kama anaweza kufanya kaz akaona oppotunity kibao akazitosa akaniomba nimuazime dola 200 na kuniagiza hizo bg akawa anasambaza kwenye maduka ya jumla na anapta pesa Za chapchap. Kapanda fasta kashaanza kuagiza na vitu vingine. Kama sabuni za puff azipak kwenye mifuko na kupitisha
Kwenye vibanda vya reja2. Tusingizie Mtaji na elimu hata mdomo wako ni mtaji tosha. Tatizo La wasomi mntaka muanze biashara na mtaji wa mabilion
 
Mtaji ni kitu cha msingi sana. Ila unatakiwa utangulize wazo la kitu cha kufanya ndo ujue mtaji unaohitajika ni kiasi ganim
 
Jamani mi natarajia kumaliza chuo kikuu mwaka huu B.A in Marketing lakini ndoto yangu ni kujiajiri na si kuajiriwa ila sasa tatizo sielewi nianzie wapi kama mnavoijua elimu yetu. Nipeni somo wadau. Nipo Mwanza.

Mambo makuu ya kuzingatia:
1. Elimu Sahihi ya jambo unalotaka kulifanya, haijalishi lina udogo gani
2. Mtaji, si lazima uwe mkuuuubwa kihivyo lakini wa kuweza kutosheleza kuanza kwa biashara, mtaji ni kama mtoto, unakua au unaweza kupata utapiamlo.
3. Wazio la biashara ambalo unaona linaweza kukutoa kimaisha, hilo wazo ulipende na uwe tayari kuliboresha kila siku. Liwe limeandikwa kwa mfumo wa SWOT( Nafikiri unaelewa ni nini hiki)
4. Tambua mazingira utakayofanyia biashara yako.
5. Jiamini unaweza kufanya vitu vikubwa

kila la heri mkuu, for more info ni pm,ushauri bureeeeeeee,,,,
 
usiisingizie elimu

ana kila haki ya kusingizia mfumo wa elimu uliowekwa ccm ambao unazalisha watembeza soksi, mapambo na bidhaa za forever living na aloe vera huko mtaani pasipo kuwatengenezea mazingira ya kumiliki kampuni zao binafsi na kuwa na uwezo wa kuajiri
 
unategemea nini kumuajiri mtu kama huyo as marketing manager/officer?
 
Back
Top Bottom