Don Mangi
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,199
- 855
- Thread starter
- #41
Hehehe, siku hizi tumenunua visu vipyaa vya kuchunia. Ukija tena tustue eeh.
afu wewe tatizo lako kubwa hupati ile cahkula motomoto ya usiku. Unajua ni bonge la piriton? Ukipata ile unalala kama mtoto unastuka asubuhi (unless umepata kwa changudoa, manake atasema na wallet)
Hahaha, sa hv wallet yangu ni michuno proof. . .
Hiyo hoja ya chakula ya usiku naona kama inahuu vile.