Nahitaji kufungua duka la vitu vitamu tu kama Candy, Chocolate, Chewing gums. Wapi napata kwa bei ya jumla?

Ubarikiwe sana Moderator kwa kurekebisha kichwa cha habari yangu, niseme ukweli nilisumbuka sana kupata maneno sahihi,
 
Hivi vitu bhana,km unamtaji mkubwa au siku ukiwa na mtaji mkubwa,Kuna nchi moja nahisi Zambia,utapata kwa Bei nafuu Sana sema taratibu zao ndo sijui Ila Kuna bro wangu alikuwa anapiga hizo Mambo
 
Ahsante sana Richard, unaweza kunipa maelekezo kwa ukubwa? Kitumbini kwa upande upi maana pale naona Khanga na Vitenge vimetamalaki,

Natanguliza shukrani.
Kibao cha mtaa wa jamhuri unaanzia pale bajeti yako umenipanga na mtaji wa kiasi gani
 
Hivi vitu bhana,km unamtaji mkubwa au siku ukiwa na mtaji mkubwa,Kuna nchi moja nahisi Zambia,utapata kwa Bei nafuu Sana sema taratibu zao ndo sijui Ila Kuna bro wangu alikuwa anapiga hizo Mambo
Nasikia ni bei ni nafuu changamoto ni Kodi kuleta nchini
 
Hivi vitu bhana,km unamtaji mkubwa au siku ukiwa na mtaji mkubwa,Kuna nchi moja nahisi Zambia,utapata kwa Bei nafuu Sana sema taratibu zao ndo sijui Ila Kuna bro wangu alikuwa anapiga hizo Mambo
Shukrani sana Investo kwa ushauri mzuri, ngoja tufunge mkanda nasi tufike huko Zambia
 
Back
Top Bottom