Msaada: Nahisi nimepotea humu Dar es Salaam

Msaada: Nahisi nimepotea humu Dar es Salaam

Nipo Mikocheni karibu na kituo cha polisi, nataka nirudi Kimara lakini nahisi nimepotea.

Nifanyeje nirudi Kimara ndugu zangu, nilikuwa natokea Makumbusho nikajikuta nashukia Mikocheni.

Nifanyeje nirudi Kimara usiku unaingia, si ndo nitapotea zaidi?
Ongea na Bill Lugano
 
We jisia gan kama ke njoo nikupe hifadh mwez huu wa ramadhan iwe kana sadaka nipate pepo filidaus kama me pambana wanaume tumeumbwa mateso
 
Hahahaa! Daah! Yaani hukutaka hata kuuliza watu unaowaona huko uso kwa macho we ukaamua uje uulize humu. Lol.

Natumai ulishaelekezwa tayari na ulishafika uendako.
 
Vipi umesharudi? Nilitaka kuja kukuchukua sasa hivi hapo mwanajamii mwenzangu. Ninyi huwa mnalalamika kuwa mkija Dar sisi tunakuwa busy. Now nataka niondoe ubusy for you
 
Kilichonisikitisha ni kuwa tukiwa mikoani stories za wanaume wa Dar kila mmoja ana gari lakini Jana wote hamna kitu

Mmoja akaja nipo sinza akiwa kwenye bajaji akawa anaita wewe Dada wa Jf nipo hapa nimekufuata jitokeze twende" nikiangalia yupo kwenye bajaji,nikajifanya siye,namchora

Namshukuru man aliyetoka Bagamoyo na kunipa usaidizi mpaka Kimara

Wanaume wa Dar wa Jf wanamiliki bajaji za kukodi hakuna cha hata IST
 
  • Kicheko
Reactions: amu

Kumbe shida yako ilikua lift,siku nyingine usitoke na 400 yako ya ngama
 
Hakuna gari ya usafiri wa umma inayotoka Makumbusho na kwenda Mikocheni...
 
Kazi moja wapo ya vituo vya polisi ni hiyo ya kusaidia waliopotea, na bahati upo karibu na kituo cha polisi, fika hapo kituoni watakupa msaada wa haraka.
Ni afadhari umuulize mtu wa mtaani sio polisi wa nchi hii hawaaminiki kabisaaa hao polisi huyo anaweza kupotea mazima akienda polisi
 
Tatzo la kuendekeza ngono mpka umejisahau kurud home kwa Muda
 
Back
Top Bottom