Msaada: Nahisi nimepotea humu Dar es Salaam

Msaada: Nahisi nimepotea humu Dar es Salaam

Ndio maana nikasema una shida kichwani. Huyo aliyekuja na bajaji lengo lake lilikuwa kukusaidia. Huenda ulipoteza pia nafasi muhimu kwenye maisha yako kwa kuona bajaji.
Au ulikuwa wewe!
 
sasa wee cute gani hujui kutumia google map? Unabando kabisa lakuingia Jf iulize google map simple [emoji15] [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hauko serious
Unapoteaje, itisha bike akupeleke maali unapokwenda
 
Wasizwa watakua wameelewa sasa maana kulikua na mifuniko mingi hapo mwanzo..
 
Back
Top Bottom