Msaada: Nahisi nimepotea humu Dar es Salaam

Msaada: Nahisi nimepotea humu Dar es Salaam

Mtu kalala zake kitandani anazuga, japo kupotea kupo 2007 niliwahi potea baada ya gari kutushusha kabla ya stendi
 
Boda wengine ni mavi ya mbwa,nimempa elfu 2000 anipeleke makumbusho,tukafika shule ya msingi Mapambano amenishusha,ameniambia makumbusho ni elfu tano ,nahisi kuchizi ,nipo shekhlango road sijui hapa ni wapi?
Unachanganya madesa hapo upo Sinza na hapo shule ya msingi Mapambano wenzako wanauza papuchi usiku. Ondoka haraka kabla mabazazi hawajakukuta hapo.
 
Kama umemwagiwa maji ya barafu [emoji23][emoji23][emoji23]

Ujuaji inakuja pale ambapo ulipo ya mara ya kwanza hukuwasalimia halafu ukarudi ukiwa umepotea halafu unahitaji msaada wao [emoji23][emoji23]
Hapo ndiyo Utajua hujui[emoji28]
 
Boda wengine ni mavi ya mbwa,nimempa elfu 2000 anipeleke makumbusho,tukafika shule ya msingi Mapambano amenishusha,ameniambia makumbusho ni elfu tano ,nahisi kuchizi ,nipo shekhlango road sijui hapa ni wapi?
Njoo hapa Sinza madukani naelekea Mbezi usafiri ninao best au nakupitia hapo Shekilango
 
Comments za kusindikiza uzi...burudani😂
Hakuna aliyejitolea kumfuata na kumpeleka?!
Niko huku Ungindoni, Kigamboni, njoo huku nitakupeleka Kimara kama bado umepotea!
 
Nenda kituo cha ITV kajitangaze ndugu zako wakufate hapo
 
We ndo nakuona hapo mbele unapuyanga eti?ebu njooo nikushike mkono fala wewe mjini hapa utaliwa Malinda vuka hapo barabara utanikuta upande

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Panda gari za kwenda Moshi, zinapita hapo hapo endelea kusubiri
 
Ukute ulitumiwa nauli ukaambiwa ya kurudi utapata hukuhuku, kimekula kwako mwanangu
 
Comments za kusindikiza uzi...burudani[emoji23]
Hakuna aliyejitolea kumfuata na kumpeleka?!
Niko huku Ungindoni, Kigamboni, njoo huku nitakupeleka Kimara kama bado umepotea!
Nifuate sinza hotel nimesimama hapa kwa nje
 
Unachanganya madesa hapo upo Sinza na hapo shule ya msingi Mapambano wenzako wanauza papuchi usiku. Ondoka haraka kabla mabazazi hawajakukuta hapo.
Nimeshindwa nifanyeje
 
Mwingine amesema niende morocco wewe mbagara ,ni ipi rahisi,mwingine niende Mwenge
Nenda mwenge rahisi zaidi mwenge utapata gari pale za kawe kimara ,mbezi kimara changamka usisahau Niko stop over kimara ukifika sema
 
Back
Top Bottom