Nahonyo
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 5,690
- 5,568
nimelaiki jibu lako ingawa mada ya miaka mingi, naona imfufuliwa.Kazi moja wapo ya vituo vya polisi ni hiyo ya kusaidia waliopotea na bahati upo karibu na kituo cha polisi, fika hapo kituoni watakupa msaada wa haraka.