Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,029
😂 😂 😂 Huu ni ushauri wa nguvu za gizaPanda gari za mbagara
😂 😂 😂 Huu ni ushauri wa nguvu za gizaPanda gari za mbagara
Jambo la kheri kama ni Kwema uncle dereva..
Usijali kuhusu mvua itakata tu😊
Hakuna shida chochote kitakachopatikana..hata usipopata chochote ila uzima na afya yako na wapendwa wako ni zawadi pia..ok!
Karibu uncle abiria☺️☺️Asante aunt abiria, wewe ni mtu na nusu 😘
Karibu uncle abiria☺️☺️
Unafanya kichwa changu kiwe kikubwa ujue😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘📌📌📌📌📌
🥰🥰🥰🥰🥰🥰😍😍😍😍
Aunt abiria ngoja tuache aliyepotea aendelee kuelekezwa njia ya kurudi kwao
🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Sawa uncle Dereva..
Ukawe na wakati mwema
Sherehekea sikukuu salama na urudi salama😘😘
Ndio maana nimemwita inbox ili niweze kumfikisha anakokwendaKwa Id hiyo tegemea kupata msaada wa haraka!
Hahaha yuko Igoma anaelekea zake Kisesa 😀 afu anaanzisha uzi yuko mikocheniUnaweza kuta yupo zake Igoma Mwanza huko. 😁
Hata akitaka kuvuka barabara watamsaidiaKazi moja wapo ya vituo vya polisi ni hiyo ya kusaidia waliopotea na bahati upo karibu na kituo cha polisi, fika hapo kituoni watakupa msaada wa haraka.
Watu mna moyo, ubarikiwe sanaMwai Kibaki Road ni hii Old Bagamoyo Road... Panda Magari ya Kawe - Buza au Kawe - Mbagala au Kawe - Temeke Ushukie Morocco (nauli 400) then Morocco unaweza kupanda Mwendokasi moja kwa moja hadi Kimara...
Au ukifika Morocco panda gari za Masaki - Simu2000 (nauli 400) mpaka Mawasiliano. Ukifika Mawasiliano panda gari za kwenda Kimara.
Option nyingine; hapo ulipo panda gari zinazoenda Kawe (nauli 400) ukifika Kawe panda gari zinazoenda Mbezi (nauli 500) ukifika Mbezi panda gari zinazoenda Kimara (nauli 400)
Option ya tatu; panda gari zinazoenda Kawe (Nauli 400), ukifika Kawe panda gari zinazoenda Mawasiliano (nauli 400),ukifika Mawasiliano panda gari zinazoenda Kimara (nauli 500).
Ushindwe wewe tu.
😂😂😂😂kwa nini mkuu😂 😂 😂 Huu ni ushauri wa nguvu za giza
Ndio maana nikasema una shida kichwani. Huyo aliyekuja na bajaji lengo lake lilikuwa kukusaidia. Huenda ulipoteza pia nafasi muhimu kwenye maisha yako kwa kuona bajaji.Kilichonisikitisha ni kuwa tukiwa mikoani stories za wanaume wa Dar kila mmoja ana gari lakini Jana wote hamna kitu
Mmoja akaja nipo sinza akiwa kwenye bajaji akawa anaita wewe Dada wa Jf nipo hapa nimekufuata jitokeze twende" nikiangalia yupo kwenye bajaji,nikajifanya siye,namchora
Namshukuru man aliyetoka Bagamoyo na kunipa usaidizi mpaka Kimara
Wanaume wa Dar wa Jf wanamiliki bajaji za kukodi hakuna cha hata IST
Ndio maana nikasema una shida kichwani. Huyo aliyekuja na bajaji lengo lake lilikuwa kukusaidia. Huenda ulipoteza pia nafasi muhimu kwenye maisha yako kwa kuona bajaji.
Unampoteza😂😂😂😂kwa nini mkuu
Hukunipa ruhusaVipi SH ulifanikiwa kwenda Kwa mwamposa na mleta mada!
Nakupa ruhusa sasa mtafute😊😊Hukunipa ruhusa
Hapo juu kuna wadau wamesema hakuna kituo cha polisi maeneo hayo. Naamini hii ni chai.Hivi unaamini kweli kuwa kuna mtu kapotea?
Mbona Umecheka Mkuu?dah kumbe igombe unapajua [emoji23][emoji1787][emoji23]