Msaada: Nahisi nimepotea humu Dar es Salaam

Msaada: Nahisi nimepotea humu Dar es Salaam

Nipo Mikocheni karibu na kituo cha polisi, nataka nirudi Kimara lakini nahisi nimepotea,...

Nifanyeje nirudi Kimara ndugu zangu,nilikuwa natokea makumbusho nikajikuta nashukia mikocheni

Nifanyeje nirudi kimara usiku unaingia,si ndo nitapotea zaidi?
Kuna mahali nimeona unaomba jamaa akupe hela lasivyo unaenda mkoani mara hii uko Mikocheni
 
Panda pikipiki mpaka Morocco, panda gari za Simu2000 (zinatokea Masaki) then ukifika Mawasiliano kuna gari za Kimara.
Kutoka Mikocheni Tanesco mpaka morocco ni sh ngapi kwa boda ili nisije nikapigwa nauli ya mkoani
 
Nipo Mikocheni karibu na kituo cha polisi, nataka nirudi Kimara lakini nahisi nimepotea,...

Nifanyeje nirudi Kimara ndugu zangu,nilikuwa natokea makumbusho nikajikuta nashukia mikocheni

Nifanyeje nirudi kimara usiku unaingia,si ndo nitapotea zaidi?

Tumia Google Map
 
Uko mahali salama sana!!... tena karibu na kituo cha polisi??... Ingia hapo kituoni, waambie umepotea watakupa usafiri kwenye magari ya patrol...🚓
 
Back
Top Bottom