Msaada: Nahisi nimepotea humu Dar es Salaam

Msaada: Nahisi nimepotea humu Dar es Salaam

Kutoka kituo cha polisi mpaka hapa nlipo siyo mbali we umesimama kwa wapi
 
Kazi moja wapo ya vituo vya polisi ni hiyo ya kusaidia waliopotea, na bahati upo karibu na kituo cha polisi, fika hapo kituoni watakupa msaada wa haraka.
weee!utasikia kwa usalama wako tutakushikilia na utalala ndani,kesho ndugu jamaa waje wakutoe.tena hutoki Bure.
 
Usiogope pia usiku sio mzuri sana , naishi hapa mikocheni karibu na kituo cha police karibu geto Giza likiondoka asubuhi nakupelela home
 
Back
Top Bottom