Msaada: Mwisho wa bahari ya Hindi ni wapi?

Msaada: Mwisho wa bahari ya Hindi ni wapi?

Bahari ya HINDI inapakana na bara la Afrika upande wa Magharibi, bara la Asia upande wa kaskazini, bara la Australia upande wa Mashariki, na bahari ya Kusini pamoja na Antarctica upande wa kusini. Nawasilisha!
 
Jibu sahihi.....Ilipoanzia ndipo ilipoishia.
Cc #wa stendi
 
Yani Mod wangeanzisha kupigwa ban ya mwezi kwa wale wote wanaochangia Uzi nje ya mada, MTU kauliza swalii MTU analeta mambo ya UVCVM, ambapo hata haviendani na na bahari ya Hindi....
 
Nimeulizwa swali mbele za watu kusema ukweli nimeshindwa kujibu!!hivi bahari hii inayoitwa ya hindi imeanzia wapi na imeishia wapi!
Sory!mimi nimesoma kwa rasi simba hivyo hakutufundisha mambo ya bahari!
Yule jamaa anayedai kuwafanya watu kuongea kiingereza ndani ya wiki 3 na eti kama mtu akishindwa anarudishiwa ada. Sijui anatumia miujiza gani wakati watu wanasoma mpaka Phd kingereza kinawashinda.
 
Angalia World Map mkuu utaona hapa hutapata jibu
 
Nimeulizwa swali mbele za watu kusema ukweli nimeshindwa kujibu!!hivi bahari hii inayoitwa ya hindi imeanzia wapi na imeishia wapi!
Sory!mimi nimesoma kwa rasi simba hivyo hakutufundisha mambo ya bahari!

Ngoja aje FaizaFox atakujibu
 
Ulipaswa kutafuta atlas ili kupata uhakika
 
ukifka cape town mahali flan wanasema ni mwisho wa indian ocean na maji kama yanaonesha mpaka, kwa upande ndo najua
Panaitwa Sea view au Cape point mkuu! Nimeshuhudia kwa macho hiyo sehemu, Ni pembezoni mwa mlima Wao maarufu unaitwa Table Mountain, pale bahari zinakutana Na unaona, kwanza Kuna mvuke flani maeneo hayo hafu Kuna kiubaridi tofauti Na hata ukipita mwenyewe unaki feel, wenyewe wanaiita Ni pembe ya Africa, kwenye kona kabisa pale....!
 
Panaitwa Cape point kama kumbukumbu zangu ziko vyema. Hapo bahari ya Hindi inakutan ña bahari ya Antlantiki! Inaanzia wapi wajuvi watujulishe ila nahisi inaanzia India!!
Kuna Wataalam Husema Hilo Eneo La Cape Point Hizo Bahari Kwa Maana Ya Maji Yake Kuna Upande Una Maji Moto (Vuguvugu) Na Mwingi Maji Baridi Sasa Waliofika Hapo Maji Yake Huwa Yanachukua Muda Kuungana Pamoja.

Yaani Ulitazama Kwa Macho Kama Yanatengana Kiasi
 
Back
Top Bottom