Msaada: Mwisho wa bahari ya Hindi ni wapi?

Msaada: Mwisho wa bahari ya Hindi ni wapi?

Achana na hiyo bahari......haina umuhimu kwa sasa.....
 
hilo swali lako sijui watatujuza wajuaji, pia kwa nn iitwe bahari ya hindi kuna chanzo ama jina tu?
Kweli mkuu maana hua sielewagi na nani alianzisha hilo jina
 
M

Mlikuwa mnafundishana kureggerise ebwana eeee,kwa ufahamu wangu bahar ni moja tu inatofautishwa majina sisi huku bahari ya Hindi na wengine inatwa pasific na wengine medditeranian na Kule Jamaica sijui inaitwaje
Kwani tofauti na jamaica mkuu haijapita nchi nyingine mbona umekimbilia jamaica[emoji3] [emoji3]
 
kuwa na akiri ya kujibu sio ki ccm ccm hapa.

haya majibu ni wazi kabisa nyie UVCCM ni ukunga yaani hakuna shule na mnaonyesha ujinga wenu.

swissme
Mkuu swissme asnt kwa kuwapa somo!!
 
Panaitwa Cape point kama kumbukumbu zangu ziko vyema. Hapo bahari ya Hindi inakutan ña bahari ya Antlantiki! Inaanzia wapi wajuvi watujulishe ila nahisi inaanzia India!!
ni cape of good hope mkuu kuna upepo balaa hilo eneo pia inaonyesha partition kbsa ya maji kiswahili wanapaita ras ya tumaini jema na pia kwenye ramani ipo chini kbsa kweny kichogo cha raman ya Africa
 
sissme usipende kulopoka ww ni mtu unaye heshima sana hapa jf.
hivi swissme unauhakika gani kwamba mm ni uvccm?
Heee!!ngoja nikae mbali hapa damu zisinirukie[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Panaitwa Cape point kama kumbukumbu zangu ziko vyema. Hapo bahari ya Hindi inakutan ña bahari ya Antlantiki! Inaanzia wapi wajuvi watujulishe ila nahisi inaanzia India!!
Asante kwa wewe mkuu ngoja wenginebnao waje
 
Source : Wikipedia

Kwa ufafanuzi bahari hindi imezungukwa na Asia Kwa upande wa kaskazini,Afrika Kwa upande wa magharibi,Australia Kwa upande wa mashariki Na Antarctic Kwa upande wa kusini.
Kwahivyo bahari Hindi iko duara.
 
Panaitwa Cape point kama kumbukumbu zangu ziko vyema. Hapo bahari ya Hindi inakutan ña bahari ya Antlantiki! Inaanzia wapi wajuvi watujulishe ila nahisi inaanzia India!!

Mkuu hivi bahari kama ya hindi inaweza kuwa na samaki wa ngapi? Milioni wanafika?
 
Mbona sasa hata "hindi" kwenyewe haigusi?
4113f719f55293f938a5a024bef29aae.jpg
 
Back
Top Bottom