Mlikuwa mnafundishana kureggerise ebwana eeee,kwa ufahamu wangu bahar ni moja tu inatofautishwa majina sisi huku bahari ya Hindi na wengine inatwa pasific na wengine medditeranian na Kule Jamaica sijui inaitwajeNimeulizwa swali mbele za watu kusema ukweli nimeshindwa kujibu!!hivi bahari hii inayoitwa ya hindi imeanzia wapi na imeishia wapi!
Sory!mimi nimesoma kwa rasi simba hivyo hakutufundisha mambo ya bahari!
kuwa na akiri ya kujibu sio ki ccm ccm hapa.ras simba ni shule y msingi
/sec? ah kituo cha masomo??
mm hayo maswali shuleni nilikuaga nakosa sana.
na siku yawekeaga akilini kwasababu nilijua hayaji kuja kunisaidia.
mm hayo maswali shuleni nilikuaga nakosa sana.
na siku yawekeaga akilini kwasababu nilijua hayaji kuja kunisaidia.
Imeanzia mumbai na kuishia bombay...
Imeanzia mumbay nakuishia Tanga sehem inayoitwa Kijiru
......Imeanzia Posta Mpaka Singapore
sissme usipende kulopoka ww ni mtu unaye heshima sana hapa jf.kuwa na akiri ya kujibu sio ki ccm ccm hapa.
haya majibu ni wazi kabisa nyie UVCCM ni ukunga yaani hakuna shule na mnaonyesha ujinga wenu.
swissme
...Na mimi naomba unijibie maanake nikimjibu mimi itakua shida.sissme usipende kulopoka ww ni mtu unaye heshima sana hapa jf.
hivi swissme unauhakika gani kwamba mm ni uvccm?
Panaitwa Cape point kama kumbukumbu zangu ziko vyema. Hapo bahari ya Hindi inakutan ña bahari ya Antlantiki! Inaanzia wapi wajuvi watujulishe ila nahisi inaanzia India!!ukifka cape town mahali flan wanasema ni mwisho wa indian ocean na maji kama yanaonesha mpaka, kwa upande ndo najua