Hi
Download hiyo Packet tracer 5.2 then tuambia kama imekufaa
Tumia GNS3,Binafsi nimekuwa nikiitumia sana hii simulator kwa ajili ya MPLS,ila tu kwa OS nyingi wanatumia Tags badala ya Label,ninatumia version 12.4 lakini bado wanatumia Tags sio Label,ila hakuna tofauti ukizingatia TDP na LDP zinafanana tu ukiondoa tofauti ya majina so kwa MPLS tumia GNS3 nina uhakika kwa 100% ni suluhisho la tatizo.
Kwa Msaada wa mambo mbalimbali ya ICT tembelea Afrot Forum-ICT Kijiji
Kama utakuwa na shida ya IOS utanistua,Ila GNS kwenye MPLS ina matatizo kidogo endapo hauna memory ya kutosha,especialy Target Routing na Route Destribution ambazo zinaconsume resources nyingi.
Kwa Msaada wa mambo mbalimbali ya ICT tembelea Afrot Forum-ICT Kijiji
Nah,ila nitakuchekia mkuu.