Msaada mwenye packet tracer inayosapoti MPLS

MkamaP

JF-Expert Member
Jan 27, 2007
8,142
3,217
Habari za wanajamvi
samahanini mimi kila nikionekana ktk jamvi hili siku zote ni msaada.samahanini kwa hilo.

Naomba mwenye packet tracer inayosapati mpls ama simulator yoyote anisaidie.
Natanguliza shukurani.
 
Hi

Download hiyo Packet tracer 5.2 then tuambia kama imekufaa

Mkuu
hiyo link uliyoni direct imeshatolewa, na hata hivyo nimedownload version 5.2 bado haisapoti.kwahiyo tatizo liko bado pale pale.
 
Kama utakuwa na shida ya IOS utanistua,Ila GNS kwenye MPLS ina matatizo kidogo endapo hauna memory ya kutosha,especialy Target Routing na Route Destribution ambazo zinaconsume resources nyingi.


Kwa Msaada wa mambo mbalimbali ya ICT tembelea Afrot Forum-ICT Kijiji

Mkuu
Nafikiri mashine zangu zina memory za kutosha kuhimili vishindo. vya remote session aka target session.
Mkuu wangu una maswali na majibu ya CCIP 642-611 ? mfano kutoka Pass4sure ama passguid?? kama unayo nipasie ndugu yangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom