Msaada: Mwenye kujua address (Physical) ya Aden Ismail Rage

Eddie

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2008
Posts
516
Reaction score
127
Wakuu naomba msaada wa kupatiwa physical address ya Mh Aden Ismail Rage kuna mambo nataka "ku sort nae"
 
Tembelea studio za Voice of Tabora radio pale Manispaa ya Tabora, utapewa hiyo Physical address. Unaweza pia kutembelea bunge la JMT pale Dodoma barabara kuu ya Dar - Mwanza, angalia viti vya nyuma nyuma utampata 'Live'.
 
Nenda samora avenue, maeneo ya steers, mbele ya ofisi za fast jet ndiko kuna gorofa la NHC hapo ndipo anapoishi!
 
Huenda anaishi hotel maana familia yake yote ipo nje ya nchi!hayo alisema mwenyewe kipindi cha mkasi
 
Nenda samora avenue, maeneo ya steers, mbele ya ofisi za fast jet ndiko kuna gorofa la NHC hapo ndipo anapoishi!

Mkuu hivi anamtafuta kwa nia njema?maana kama unamtafuta mtu physically maana yake mlishaonana nae kidigitally
 
Nenda samora avenue, maeneo ya steers, mbele ya ofisi za fast jet ndiko kuna gorofa la NHC hapo ndipo anapoishi!

Yote yanawezekana, kwahiyo akitaka kujipoza kwa my wife anamfuata au anavuta kitu kingine
 
Chunga mkuu...si unajua yule jamaa ana kimguu cha kuku?!au unampelekea dili la wale wanyama wakubwa
 
Una bullet proof?? Usije kuwaka pumzi yako rehani aisEe!!
 
Nenda samora avenue, maeneo ya steers, mbele ya ofisi za fast jet ndiko kuna gorofa la NHC hapo ndipo anapoishi!

Ndio anakaa maeneo hayo kwenye kagorofa kachafu chafu hivi kapo opposite na Tanesco, kuna uchochoro wa mama ntilie na ndio hapo hukutana na matapeli wenzie
 
Una bullet proof?? Usije kuwaka pumzi yako rehani aisEe!!

Page%2B1.jpg
kp%2BSept%2B25.jpg
 
Ndio anakaa maeneo hayo kwenye kagorofa kachafu chafu hivi kapo opposite na Tanesco, kuna uchochoro wa mama ntilie na ndio hapo hukutana na matapeli wenzie

toka lini wasonjo wakakaa sehemu safi think! dude..
 
Back
Top Bottom