MsaniiMkubwa
Member
- Sep 2, 2026
- 21
- 37
Nakutana na changamoto kwenye email address yangu ya yahoo. Kila nikijaribu ku-recover naishia pale inaponitaka kuweka namba yangu ya simu, badala ya kunitumia code namba inasema "something went wrong".
Naomba msaada kwa Mtaalamu wa haya mambo.
Naomba msaada kwa Mtaalamu wa haya mambo.