Msaada mtu ame Hack account ya Insta

PastorA

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
361
275
Ndugu zangu naomba msaada kuna mtu ambaye alileta link humu ya Instagram kwa kupata followers cha ajabu ametumia hiyo Ku hack account mpak sasa siwezi Ku access naomba ushauri na msada wa kufanya
 
Welcome udom kitengo cha cyber security attack utapata msaada wa kutosha
Mkuu mm ni mhitimu hapo UDOM ni msomi mwenzio wa ng'ox block G kwa sasa nipo dsm naomba msaada sana rafiki yangu
 
Kama unakumbuka email ID yako unaweza irudisha mwenyewe lakini kama huikimbuki lazima ujiandae msaada hapo pesa
 
itakuwa alifanya phishing, unaweza link hio thread? ili akirudi siku nyengine tuwape watu tahadhari.

ulifungulia na nini hio instagram yako? tumia hicho ulichofungulia ku forgot password na ku recover account yako.
 
Back
Top Bottom