Msaada: Mpenzi wangu hapendi kunyonyana ndimi (denda)

Msaada: Mpenzi wangu hapendi kunyonyana ndimi (denda)

728d1c31173ee7d15b9f22a2747f62be.jpg
 
Kama tatizo siyo kunuka mdomo basi angalia mpangilio wa meno (dental formula) mdomoni mwako.
 
Mpagawishe kisawasawa yaani mpe ma romance ya maana hadi alegee utashangaa anakupa mwenyewe , sio mpo faragha tu moja kwa moja kwenye denda, Noooo … mpapase kila mahala kwa istadi mzuri nakulamba lamba maeneo sensitive unayoyajua yote hadi alegee alafu peleka domo lako mwenyewe atapokea na usipo shangaa anaweza nyonya ulimi wako hadi ukataka kuchomoka… hivyo uwe muangalifu pia …
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom