lady Jay
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 526
- 646
- Thread starter
- #61
Nashukuru sana.lady Jay
Pole sana dear,
Ukweli ni kwamba unayopitia ww ni wengi wanapitia,wamepitia na wataendelea kupitia.
Ni moja ya hatua muhimu maishani, kamwe usicomplain endelea kusali,endelea kuwa na imani na Mungu, Endelea kupiga kazi, Fanya kama unachopitia sasa kuwa ni maisha yako halisi yazoee. Ni kusali na kufanya kazi, haijalishi unapata au vipi?
Kamwe usiwe na hisia hasi kuhusu ww, Mungu ana makusudi yake. Wengi wamepitia hali yako tunachotofautiana ni ustahimilivu tu.
Kwa uzoefu wangu kuna neema kubwa inakuja mbele yako baada ya hii hali unayopitia. Zidisha kusali, Fanya kazi, Piga mazoezi, Pumzika, Relax kuna something big inakuja wala usiweke matarajio yeyote ww yazoee maisha ya sasa yafanye kuwa maisha yako ya kila siku.