Msaada: Mnafanyaje mambo yenu yaende poa?

Mizimu na tunayoibeba, mfano ukitembea na mwanamke Malaya , unaweza pata mizimu ya umalaya

Ukitembea na mwenye bahati na wewe unakua tajiri? Kama hivyo basi watu waanze umalaya walale na wenye bahati nao watoboe.

Haya mambo yenu yakusadikika hayana uhalisia kwenye maisha, ni story za vijiweni kama story zingine zote yani pure nonsense.
 
Habari zenu,

Ndugu zangu, mnaombaje kwa Mungu mpaka mnapata baraka tele. Mimi binafsi kila ninachogusa mambo hayaendi, stress kila corner mpaka kuna wakati unatamani ujiwaishe tu mbinguni.

I am working really hard and sitamani kukataa tamaa zaidi.Naombeni ushauri huwa mnafanyaje fanyaje mambo yenu yaende poa.

Asante.
Nimefanya uchunguzi, mungu hapendi watu wema, kuwa na roho mbaya, USISAIDIE yoyote, hapo utafanikiwa
 
Habari zenu,

Ndugu zangu, mnaombaje kwa Mungu mpaka mnapata baraka tele. Mimi binafsi kila ninachogusa mambo hayaendi, stress kila corner mpaka kuna wakati unatamani ujiwaishe tu mbinguni.

I am working really hard and sitamani kukataa tamaa zaidi.Naombeni ushauri huwa mnafanyaje fanyaje mambo yenu yaende poa.

Asante.
Don't Work hard,find the way to work smart then you will thank me later .

Technically unachofanya au unayoyafanya Huyapendi,unafanya TU,update ela.
 
Keep on praying, wakati wako waja...

Hujasema mambo gani Ila? Stress kila kona how?

Mfanowe me siku hizi Nina vihasira vya hapa na pale, kuna muda naona Kama sijielewi 😁 Ila najua 7bu. Kichupa kimejaa sana... Hebu check na huko kwanza u boost akili.
Unasema Kichupa chako cha nyege kimejaa, ila midume ikija pm kukutongoza unawakataa, wanawake bhana Depal
 
Habari zenu,

Ndugu zangu, mnaombaje kwa Mungu mpaka mnapata baraka tele. Mimi binafsi kila ninachogusa mambo hayaendi, stress kila corner mpaka kuna wakati unatamani ujiwaishe tu mbinguni.

I am working really hard and sitamani kukataa tamaa zaidi.Naombeni ushauri huwa mnafanyaje fanyaje mambo yenu yaende poa.

Asante.
Njoo inbox tusemezane. All is well.
 
Pole sana, hii story yako fahamu tu inaakisi maisha ya watu wengi sana mtaani na hata hapa JF.

What exactly do you want in this life?
 
Pole sana, hii story yako fahamu tu inaakisi maisha ya watu wengi sana mtaani na hata hapa JF.

What exactly do you want in this life?
I want my plans or hustle to work out.Kuanzia kwenye biashara or tender za kazi to be successful.
 
Wala siyo kwamba wengine wanapendelewa ila kwa neema tu
1. Jiepushe kuwa na marafiki wa kupiga soga. Kuwa na marafiki wa kwenye kutafuta kazi, kuangalia fursa. Mnapigiana simu, kuna kazi fulani twende tukafanye
2. Penda kuchangamana na watu ila wenye malengo hasa angalia waliokuzidi umri au umri sawa ila malengo ya kutoboa
3. Usipende kubagua kazi. Mfano mm huwa sichagui kazi ili mradi iwe halali. Anza hata kukaanga chapati uza
Kadri unavyozidi kupambana ndiyo Mungu anakufungulia baraka
4. Siri ambayo ni ngumu na rahisi kutoboa. Kuishi mbali na ndugu, huko hakuna msaada wowote zaidi ya kujipigania. Lazima upambane utoboe
5. Kupunguza matumizi yasiyo ya msingi
6. Nyumba hizi tunazokaa huwa zina neema au mikosi. Unaweza kuwa kwenye lkn kila unachofanya hakifanikiwi ila nyumba nyingine ukafanikiwa
7. Usichoke kumuomba Mungu siku zote.
Hiyo 4 na 6 nmeexperience mkuu! Umeongea fact sana
 
I want my plans or hustle to work out.Kuanzia kwenye biashara or tender za kazi to be successful.
Okay...binafsi naamini majibu unayoyatafuta yako ktk hayo hayo unayoyafanya.

Kwa mfano, to be specific; sasa hivi ni kazi/shughuli gani unayoifanya au uliyonayo ambayo inaenda vibaya au badala ya kuleta faida inaleta hasara.
 
Hii ndo njia sahihi kuliko zote , mzee nipe Mbinu hata Mimi Nataka niondoe laana za mababu na wazazi,
Mkuu, unaijua chumvi ya mawe? Mlumbalumba/kamfumbe? Ndulele/mtulatula? Mti wa kisanvu? Kama wavijua hivi njoo pm nikuelekeze Cha kufanya, amini tu! Hakuna kafara wala masharti ya hovyo hovyo!
 
Mwenyezi Mungu alifanya Kila kitu ktk maisha yetu yawezekane, tatizo tunakosa maarifa!
Someni ecology vilivyo muelewe, tunategemeana kwa Kila kitu! Kutoamini hili ni ukosefu tu wa maarifa ila ukitambua kuwa elimu hiyo ipo kwa watu, heshimu upate maarifa na ukizingatia itakusaidia!
Mfano, hakuna tatizo kubwa tulilonao viumbe kama tatizo la njaa, tunajitibu tatizo la njaa Kila siku kwa lishe itokanayo na sisi wenyewe viumbe!
Tafakari chukua hatua, kuzaliwa maskini si tatizo lakini kufa maskini ni uzembe wako mwenyewe!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom