watu wanasema eti keep praying? uombeee kwan wew wakwanza kuomba?? uyo Mungu akusikilize wew kulko wagonjwa mahospitalin na mayatima?, easy& clear unataka mafanikio njia ni hizi
..[emoji117]fanya kazi yoyote bila aibu
then
..[emoji117]kile ulichopata chukua sehem yake itakayoumiza moyo wako na ukaitoe sadaka, na kutoa sadaka si uko makanisani wala msikitini, bali sehemu effectively ambayo ukipeleka kwel unakuwa umegusa uhitaji,
sehem hiyo inaweza kuwa kilingeni, nyumbani kwenu kwenye mizimu ya ukoo wako, kwa mayatima, wajane wanaohitaji si kila mjane ni muitaj, na si kila yatima ni muitaj wengine unamsaidia lkn anaenda kuiba ama anakukaba hata wew, wagonjwa usiowajua, wanajera uko kifungoni, masikini na walala hoi ambao wanahitaj msaada, ujue kuwa si kila masikini ni muhitaj, wengne unawasaidia lkn wanakusengenya baadae ama kukuchawia, la mwisho ni kurudisha mkono wa asante wa wale waliokulea utotoni kama ni mzaz,mlezi amayeyote yule,
kwa kufanya haya unakuwa ume apply law ya give and receive after paying what hurts, and wht you're responsible to do then you rewarded great than u did
[emoji117]..la mwisho ni jifunze kufanya money saving na kuboresha kile unachokifanya kila baada ya muda,wekeza muda wako kujifunza uwekezaji wa kidogo unachopata, mafundisho yako mengi uko mitandaon, wapo walimu wengi uko mitandaon kama akina joel nanauka unaweza wafatilia hawa ukapata masomo muhimu sana ambayo hutowai yapata shule yoyote ile hapa dunian na ahera. mimi shahid siandiki kukufuraisha, naandika nachokijua.
note:- usipofanikiwa kwa hizi njia mzee kamtafte mchawi aliekuroga, na hutompata maana mchawi utakuwa ni wew mwenyew kwa kuvunja moja ya hizo njia hapo, hasa iyo ya ''saving"
Sent from my SM-G935V using
JamiiForums mobile app