Wewe unaelewa nini kuhusu "laana"?Mimi hii ndio naikataaga. Yaani kosa afanye babu yangu huko nyuma kabla sijazaliwa afu me mtu mwingine nibebe msalaba hapana kwa kweli. Huucni uonevu wa hali ya juu. Imagine me nifanye kosa afu mwanangu aje apate shida kisa eti mimi kuwa ni baba ake yeye ndo iwe shida na mahangaiko kwake. Sijui hii imekaaje
Hiyo avatar ni wewe? Una dimpo zuri.Keep on praying, wakati wako waja...
Hujasema mambo gani Ila? Stress kila kona how?
Mfanowe me siku hizi Nina vihasira vya hapa na pale, kuna muda naona Kama sijielewi 😁 Ila najua 7bu. Kichupa kimejaa sana... Hebu check na huko kwanza u boost akili.
Ni nuio kwa mtu aliyekutendea mabaya ili naye apate dhara.Wewe unaelewa nini kuhusu "laana"?
Hujawahi kusikia, "umelaaniwa wewe pamoja na uzao wako wote"? Yaani ukilaaniwa au kupewa laana ya namna hiyo basi ujue laana hiyo Haina kikomo! Aliyepewa atakufa lakini laana hiyo itaendelea kuwepo kwa kizazi chake! Bila external power ya kuvunja laana hiyo, itawatafuna mpaka mwisho wa Dunia!Ni nuio kwa mtu aliyekutendea mabaya ili naye apate dhara.
Nb Kama sijakutendea baya iweje nipate dhara. Mf mimi wa kizazi cha nne huku ambae sikuwepo na wala sikukutenda lolote.
A man is a result of what he thinketh. Naamini nilizaliwa kwa kucopy DNA sio madhambi ya watu. Kama mshahara wa dhambi ni mauti basi huyo babu yangu alipotea na hiyo laana siku ya kufa kwake. Afu eti me nizaliwe nayo.
Nimejiongelea binafsi na siyo ukoo au familia. Ni just kipindi hiki hali ni mbaya lakini siyo siku zote na sitaki kujinenea hvyo kwamba hali itakua hivi forever.Kwanza angalia ukoo wako Kuna mtu aliwahi kuwa na pesa ,..?
Kwenye familia yenu Kuna mtu alishawahi kutoboa ,kuwa na maisha mazuri ,biashara n.k..?
Siku zote maji hufuata mkondo,ndugu Kama umezaliwa kwenye familia masikini utaendelea kuwa masikini mpaka mwisho ....
Labda ije external push ,nje na famalia yenu ikuboost ,vinginevyo upo kwenye mkondo wa umasikini na huwezi chomoka walahi
Hapa hujamshauri kitu, hebu tafakari ulichoshauri kama atakitendea kazi itakuwaje?Jiamini 100%,
Muamini Mungu 100 %
Siyo kila ushauri ni wa kufuata,
Simama kama wewe,
Punguza starehe,
Achana na mahusiano kwa muda.
Stand with your own feet.
Tunapigwa kweli, hatupewi asilimia zote, inawezekana tumepewa asilimia kumi tu, izo 90 inabidi kujitafutiaMe hapa naonaga wana dini wanatupiga.
Kwa nini asiyehusika na ambae hayupo apewe tabu hii??Hujawahi kusikia, "umelaaniwa wewe pamoja na uzao wako wote"? Yaani ukilaaniwa au kupewa laana ya namna hiyo basi ujue laana hiyo Haina kikomo! Aliyepewa atakufa lakini laana hiyo itaendelea kuwepo kwa kizazi chake! Bila external power ya kuvunja laana hiyo, itawatafuna mpaka mwisho wa Dunia!
Sure mkuu kuna mtu hapo juu kamuelezea mtoa mada kuwa abadili mifumo ya mishe zake.Tunapigwa kweli, hatupewi asilimia zote, inawezekana tumepewa asilimia kumi tu, izo 90 inabidi kujitafutia
Je unajua kwamba kuna watu wengi sana hawafanyi kazi lakini wanaishi maisha ya kuwatumikisha wengine pasipo wao kujua kwamba wanatumikishwa? Yawezekana wewe ni mmoja wao unatumikishwa pasipo wewe kujua. Huhitaji kuamini ninachosema hata kama huamini mambo haya yapo sana kila siku na dawa yake ni kukaa vizuri na Mungu Aliye Hai.Habari zenu,
Ndugu zangu, mnaombaje kwa Mungu mpaka mnapata baraka tele. Mimi binafsi kila ninachogusa mambo hayaendi, stress kila corner mpaka kuna wakati unatamani ujiwaishe tu mbinguni.
I am working really hard and sitamani kukataa tamaa zaidi.Naombeni ushauri huwa mnafanyaje fanyaje mambo yenu yaende poa.
Asante.
AmenJe unajua kwamba kuna watu wengi sana hawafanyi kazi lakini wanaishi maisha ya kuwatumikisha wengine pasipo wao kujua kwamba wanatumikishwa? Yawezekana wewe ni mmoja wao unatumikishwa pasipo wewe kujua. Huhitaji kuamini ninachosema hata kama huamini mambo haya yapo sana kila siku na dawa yake ni kukaa vizuri na Mungu Aliye Hai.
Keep on praying, wakati wako waja...
Hujasema mambo gani Ila? Stress kila kona how?
Mfanowe me siku hizi Nina vihasira vya hapa na pale, kuna muda naona Kama sijielewiIla najua 7bu. Kichupa kimejaa sana... Hebu check na huko kwanza u boost akili.