Msaada: Mke wangu anapaka kitunguu maji sirini!

Hahaaa. Hivyo umewaza kitu gani jamaani?
Kuna kitu nilikuwa sijagumdua kwa mke wangu..nahisi kwenye mashavu kuna tundu la hereni au mkufu... Unajua issue yake ina mashavu hivi, ambayo napenda sana chezea.. Sasa sijui anataka fanya nini?

Amekuwa fundi sana..
 
Hahahahaaa we jamaa umesababisha nacheka kwa sauti

Kwahiyo unatuhakikishia kwamba bado hujamjua vizuri mkeo kama haya ndio unayajua sasa[emoji3] [emoji3]
 
Hapana mkuu, nimegundua jana hii.. Tena usiku huo ndio alinisalimia na kusema asante.. Jambo ambalo si kawaida.. Kabisa!
 
Back
Top Bottom