Msaada: Mke wangu anapaka kitunguu maji sirini!

Msaada: Mke wangu anapaka kitunguu maji sirini!

Kiaje?

Yaan yna4: utoke uende sokoni ukanunue vitunguu maji sijui uvikatekate / uvipondeponde kisha uvue nguo zako ujikandike (hukooooo) kisha mimi niwe sababu!?
Nmechekaaa naimagine anavyojikandika uko cjui analala chali anajimanua au anachuchumaa 😂😂😂😂 wanaume ndo sababu Ndio mpo wachache
 
Mwambie aache haraka...huko ikulu hakutakiwi kuwekwe kitu chochote isipokuwa Dushe pekee...

Atapata kansa ya shingo ya kizazi...

Hapana siyo kweli, sababu kubwa ya kansa ya shingo ya kizazi ni Human papilloma virus type 11,16 na 18
 
Back
Top Bottom