Msaada: Mke wangu anapaka kitunguu maji sirini!

Msaada: Mke wangu anapaka kitunguu maji sirini!

Wakuu habari za leo, binafsi naomba radhi kama uzi utakuwa na maneno makali..

Hivi karibuni nimegundua kitu ambacho si kawaida kwa mke wangu. Baada ya tukio la huko nyuma nami kuwaomba ushauri namna ambavyo nikimtekenya mke wangu achekelee, nimekuja kuona mabadiliko ya aina fulani.

Nime-note kuwa "mbunye" sasa inabana na kiuno feni imezidi. Ila sasa.. Nasikia harufu ka ya kitunguu maji!..

Baada ya utafiti wangu nikagundua huwa anajipaka. Je ni hali ya kawaida kwa wanawake kutumia vitunguu maji? Je kuna madhara yoyote? Je, ni limbwata?

Nisaidieni wakuu!
dawa yqke yeye akipaka vitunguu sirini wree kwakonpaka pilipili mechi itakuwa droo
 
Back
Top Bottom