Msaada: Mke wangu anapaka kitunguu maji sirini!

Msaada: Mke wangu anapaka kitunguu maji sirini!

Naamini nia yake si mbaya kwako na yote hayo anayafanya ili kukuridhisha wewe japo hatujui madhara kwa hapo baadae.

Tena utumie busara za juu kama utamuuliza. Ili kuepuka mikwazano
 
Na kweli sababu kila siku wanasema oooh sijui mifukooo. Hivyo wanawake nao wanaona isiwe shida wacha waunge kwa bibi.

Na upande wa pili na sie wanawake tuna tatizo kwa kusahau kwamba ni ngumu sana kumridhisha mwanadamu hivyo yatupasa kukubaliana na hali sababu waeza hangaika hivyo ila mwisho wa siku akaenda pengine.

Mie naona tujikubali tu na ndio suluhisho.
Hahaaaaa eti mifukooo.....nimecheka hapo khaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kabisaaaa. Yanaweza yasionekane kwa muda mfupi ila huko mbeleni yakawepo Mbalizi.

Ila na nyie Me muachage kutusema vibaya kwamba tuna mifuko ya naniliu [emoji12][emoji12][emoji12]. Mridhikage tu na maumbile yetu au kama vp muwe mnasepa kimya kimya. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaaa best leo unanichekesha sana na hizi comments zako, duuh[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wakuu habari za leo, binafsi naomba radhi kama uzi utakuwa na maneno makali..

Hivi karibuni nimegundua kitu ambacho si kawaida kwa mke wangu. Baada ya tukio la huko nyuma nami kuwaomba ushauri namna ambavyo nikimtekenya mke wangu achekelee, nimekuja kuona mabadiliko ya aina fulani.

Nime-note kuwa "mbunye" sasa inabana na kiuno feni imezidi. Ila sasa.. Nasikia harufu ka ya kitunguu maji!..

Baada ya utafiti wangu nikagundua huwa anajipaka. Je ni hali ya kawaida kwa wanawake kutumia vitunguu maji? Je kuna madhara yoyote? Je, ni limbwata?

Nisaidieni wakuu!
Tupe mrejesho mkuu kabla na baada ya kuirosti vip testa yake
 
Wakuu habari za leo, binafsi naomba radhi kama uzi utakuwa na maneno makali..

Hivi karibuni nimegundua kitu ambacho si kawaida kwa mke wangu. Baada ya tukio la huko nyuma nami kuwaomba ushauri namna ambavyo nikimtekenya mke wangu achekelee, nimekuja kuona mabadiliko ya aina fulani.

Nime-note kuwa "mbunye" sasa inabana na kiuno feni imezidi. Ila sasa.. Nasikia harufu ka ya kitunguu maji!..

Baada ya utafiti wangu nikagundua huwa anajipaka. Je ni hali ya kawaida kwa wanawake kutumia vitunguu maji? Je kuna madhara yoyote? Je, ni limbwata?

Nisaidieni wakuu!
Huyo mwanamke atakua ananuka sana
 
Back
Top Bottom