Msaada: Mke wangu anapaka kitunguu maji sirini!

Msaada: Mke wangu anapaka kitunguu maji sirini!

nazani siyo uchawi/limbwata nilisha ambiwa vitunguu kwa ujumula wake ni dawa za magonjwa mbalimbali hasa vitunguu swaumu - tena it is natural kuliko kupakaa mafuta na dawa za viwandani au za mchina. ongea naye tu umuulize maana mpaka umejua basi hiyo siyo limbwata au uchawi hata yeye hakuwa na nia kubwa ya kukuficha.
 
Kwa kuruka viunzi nakujua[emoji3] [emoji3] [emoji3]

Ulijuaje saasa na hujawahi tumia
Hebu niache Mbalizi. Ujue natumia Smartphone na tunasoma vitu vingi sana na kujifunza vingi na sidhani kama vyote tunavifanyia practical. 😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom