jogoo_dume
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 2,196
- 1,940
Dawa ya nini?Kitunguu swaumu ndo huwa kinawekwa ni dawa
Kitunguu maji sijui labda anataka kuunga kibamia chako
Dawa ya nini?Kitunguu swaumu ndo huwa kinawekwa ni dawa
Kitunguu maji sijui labda anataka kuunga kibamia chako
Ni hatari sana na inaweza kudhuru afya yake aiseeeeeMbwembwe wapi Mbalizi kutokujitambua tu huko na kuamini story za mabombani kama sio saluni.
Na kweli sababu kila siku wanasema oooh sijui mifukooo. Hivyo wanawake nao wanaona isiwe shida wacha waunge kwa bibi.Nyinyi ndio chanzo
Huyo hadi kaamua kufanya ivyo ..amejiweka katika utayari wa lolote lile ili mradi Mume aridhikeAiseee...
Kwahiyo upo tyr ku- risk afya yako kisa tu mumeo kakwambia pussi yako inaloa maji mno!?
Afanye bidii aiseeeeeHuyo hadi kaamua kufanya ivyo ..amejiweka katika utayari wa lolote lile ili mradi Mume aridhike
Me najipenda mno kiasi cha kukosa uthubutu wa kufanya ivyo
Mie najua kwa kumeza punje sijui mbili kwa siku mara tatu ila sio kwa kuweka huko kwa bibi. Ila tusubiri wanaojua zaidi.Nahisi tiba ya fangasi
Hapo kwenye kujikubali Dada NAKAZIANa kweli sababu kila siku wanasema oooh sijui mifukooo. Hivyo wanawake nao wanaona isiwe shida wacha waunge kwa bibi.
Na upande wa pili na sie wanawake tuna tatizo kwa kusahau kwamba ni ngumu sana kumridhisha mwanadamu hivyo yatupasa kukubaliana na hali sababu waeza hangaika hivyo ila mwisho wa siku akaenda pengine.
Mie naona tujikubali tu na ndio suluhisho.
Mpaka wadhurike ila nje ya hapo tena kama hivyo anavyosifia mleta uzi kwamba imekuwa naniliu unadhani huyo mwanamke ataacha. Si rahisi aisee mpaka apate madhara.Ni hatari sana na inaweza kudhuru afya yake aiseeeee
Ote hii sababu yenu wanaume...tuoneeni hurumaa...Wanawake mko na mbwembwe !
Ewaaaaaaa. Na ndio asilimia kubwa wapo hivyo.Hapo kwenye kujikubali Dada NAKAZIA
Hawa viumbe hata uweke viungo vya aina gani akiamua lake kaamua
Tujithamini jamani...matatizo mengine twatafuta wenyewe
Wekeni na pilipili kbsY
Ote hii sababu yenu wanaume...tuoneeni hurumaa...
Kwakweli tuwasubiri waje watujuzeMie najua kwa kumeza punje sijui mbili kwa siku mara tatu ila sio kwa kuweka huko kwa bibi. Ila tusubiri wanaojua zaidi.
Kabisaaaa. Yanaweza yasionekane kwa muda mfupi ila huko mbeleni yakawepo Mbalizi.Ni hatari sana na inaweza kudhuru afya yake aiseeeee
Kabisaaa mdogo wangu.Kwakweli tuwasubiri waje watujuze
Hahahaaaa. Lol.Wekeni na pilipili kbs
Unaenda wapi,??[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]