Zionist
JF-Expert Member
- Dec 5, 2017
- 1,870
- 3,014
Duh si kwa jibu hilo [emoji12] [emoji12] [emoji12]Kitunguu swaumu ndo huwa kinawekwa ni dawa
Kitunguu maji sijui labda anataka kuunga kibamia chako
Duh si kwa jibu hilo [emoji12] [emoji12] [emoji12]Kitunguu swaumu ndo huwa kinawekwa ni dawa
Kitunguu maji sijui labda anataka kuunga kibamia chako
Hapa mkuu iko haja ya kujua sio kila kitu unafanya Kuwa siri utakufa na maumivu yakoKwanini usimuulize yeye mwenyewe kwanza??
Hivi wewe mkuu umepitia jandoni kweli? Hivi vitu vya sirini vya mkeo unakuja kutuletea humu JF?
[emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji2] nimecheka kwa sauti hadi mtu kanishangaa hahahahandio maana vitunguu vimepanda bei
Kitunguu swaumu mmhh dawa ya niniKitunguu swaumu ndo huwa kinawekwa ni dawa
Kitunguu maji sijui labda anataka kuunga kibamia chako
karibu jf[emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji2] nimecheka kwa sauti hadi mtu kanishangaa hahahaha
Mkuu me mwenyeji kitambo Sana humkaribu jf
Nyinyi ndio chanzoWanawake mko na mbwembwe !
Nahisi tiba ya fangasiKitunguu swaumu mmhh dawa ya nini
Kiaje?Nyinyi ndio chanzo
Kwenye macho tu kinauma balaa...sijui ikulu itakuwaje...Pichani ni kitunguu maji.. View attachment 825138
Na kweli maana anamfurahisha Me mwisho wa siku ugonjwa unabakia kwake na akishakuwa hivyo asahau kabisa kama mwanaume ataweza mvumilia cha zaidi ataenda kutafuta wazima.Mwambie aache haraka...huko ikulu hakutakiwi kuwekwe kitu chochote isipokuwa Dushe pekee...
Atapata kansa ya shingo ya kizazi...
Hivi wajua huyo mke wa huyo jamaa asingeenda uko sokoni akanunua icho kitunguu kukisaga na kukiweka pussini endapo tu mumewe angeikubali hiyo hali yake aliyonayo kabla,!!Kiaje?
Yaan yna4: utoke uende sokoni ukanunue vitunguu maji sijui uvikatekate / uvipondeponde kisha uvue nguo zako ujikandike (hukooooo) kisha mimi niwe sababu!?
Hahahaah dahKitunguu swaumu ndo huwa kinawekwa ni dawa
Kitunguu maji sijui labda anataka kuunga kibamia chako
Kitunguu swaumu ni dawa ya nini??Kitunguu swaumu ndo huwa kinawekwa ni dawa
Kitunguu maji sijui labda anataka kuunga kibamia chako
Mbwembwe wapi Mbalizi kutokujitambua tu huko na kuamini story za mabombani kama sio saluni.Wanawake mko na mbwembwe !
Aiseee...Hivi wajua huyo mke wa huyo jamaa asingeenda uko sokoni akanunua icho kitunguu kukisaga na kukiweka pussini endapo tu mumewe angeikubali hiyo hali yake aliyonayo kabla,!!