Msaada: Mke wangu anapaka kitunguu maji sirini!

Msaada: Mke wangu anapaka kitunguu maji sirini!

Wakuu habari za leo, binafsi naomba radhi kama uzi utakuwa na maneno makali..

Hivi karibuni nimegundua kitu ambacho si kawaida kwa mke wangu. Baada ya tukio la huko nyuma nami kuwaomba ushauri namna ambavyo nikimtekenya mke wangu achekelee, nimekuja kuona mabadiliko ya aina fulani.

Nime-note kuwa "mbunye" sasa inabana na kiuno feni imezidi. Ila sasa.. Nasikia harufu ka ya kitunguu maji!..

Baada ya utafiti wangu nikagundua huwa anajipaka. Je ni hali ya kawaida kwa wanawake kutumia vitunguu maji? Je kuna madhara yoyote? Je, ni limbwata?

Nisaidieni wakuu!
Mimi nilikutana na ndimu wakati nazama chumvini. K ilikua ya ugwadu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
kuweka hivyo vitu ata kama vina saidia kubana maumbile lakini unaondoa huo ulinzi wa asili na kupafanya paweze kushambuliwa kirahisi na bacteria.
 
Pichani ni kitunguu maji..
IMG_20180802_182129.jpg
 
Back
Top Bottom