Msaada: MGANGA fundi

Msaada: MGANGA fundi

Wana Jf kwa yeyote anayemjua
mganga fundi kweli kweli hasa
maeneo ya Bagamoyo!

Uko tayari kwa Masharti?
Yupo mmoja hivi anakuambia vua sarawili, inama uelekeze makalio upepo unakotoka!
 
hongera Kongosho kwa kuanzisha thrwad jukwaa la siasa....
Ulienda kwa mganga gani? Naomba nielekeze na mie niende....
 
Last edited by a moderator:
Chagua

images


images


9k=





images
 
nipo Mganga wa Ukweli
Umepata sehemu yenye msaada
hutajutia hizi ndo kazi zangu
NPM nikupe msaada wa matatizo yako yaliyoshindikana katika hii dunia
Vigezo na masharti kuzingatiwa Preta utamwelekeza njia
kwa maelezo zaidi kong'oli hapo...:eek2:

sundaypixs 1260[1].JPG
 
Last edited by a moderator:
pole!chota unyanyo wake afu uukaange habari yake ataiona huko aliko.
 
wezi wamekuja jana wameiba site mirror,power window,battery ya gari,radio,speaker
na hii ni mara ya pili kuja nyumbani kunifanyia unyama huu
nyayo zipo mpaka xaxa

chukua nyayo zake kaweke kwenye kopo panda ua pesa.

utaona matokeo
 
Back
Top Bottom