wapo kibao wanakuja...
tulia hapo hapo...
vip unataka kugeuza mtu paka ama?
wezi wamekuja jana wameiba site mirror,power window,battery ya gari,radio,speaker
na hii ni mara ya pili kuja nyumbani kunifanyia unyama huu
nyayo zipo mpaka xaxa
Lazima wewe ni mteja wao mzuri.Nenda kwa Babu Ustadh Yahya,au Mzee Mpingolo,au Kwa Mzee Kiboko.
Hao wote wanapatikana Bagamoyo mjini japo ni mwendo kidogo.
Au ni PM nikuelekeze vizuri.
Mmm? Madame B , charminglady mbona mnaniogopesha nyie wanawake!
mmmmmmhhhhh!!!!!!Nenda kwa Babu Ustadh Yahya,au Mzee Mpingolo,au Kwa Mzee Kiboko.