Msaada: MGANGA fundi

Unaguna nini Bishanga?
Hata wewe umeendewa,hujijui tu.
Hakuna mwanaume asiefanyiwa ndumba Tz hii.
(najua mtanishambulia tu)
mi wala siwezi kukushambulia,i am old enough kujua unalosema ni la ukweli.
Kilichonimaliza ni kuwa chichat sasa tumeanza na kuelekezana kwa sangoma,kweli jf ni kiboko ya mitandao ya jamii.
 
Last edited by a moderator:
Wangu niambie ukweli, usijali kama utaniuma au lah!
Je mimi meniendea kwa sangoma au ni Mapenzi ya ukweli?

Please wangu nahitaji kujua hili nijue chakufanya dawa zikiisha!

Ndo mana yake.
Jf ni kama BF wangu wa pili baada ya huyu wa sasa.
 
Wangu niambie ukweli, usijali kama utaniuma au lah!
Je mimi meniendea kwa sangoma au ni Mapenzi ya ukweli?

Please wangu nahitaji kujua hili nijue chakufanya dawa zikiisha!

Usijali mpenzi wangu,
mimi siwezi kukuwekea limbwata wangu,japo ni Sunna.
 
Wangu niambie ukweli, usijali kama utaniuma au lah!
Je mimi meniendea kwa sangoma au ni Mapenzi ya ukweli?

Please wangu nahitaji kujua hili nijue chakufanya dawa zikiisha!
acha woga rutta,maji ya mochwale hayaui!
 
We unafikiri ulivyokuwa umeniganda kipindi kile yalikuwa mapenzi yale?
Pale nilitembeza ndumba mwanzo mwenga.
La sivyo ningerudi kwetu kitambo.

hata mi nilistukia wakati nakupiga chin bado nilikua nakuota mpaka leo
 
kumbe waganga mko wengi humu...
tena wadada ndio mnaoongoza..

jasiri aachi asili wee! BAGAH & Ruhazwe Jr. . . unadhani mpk C6 kadata unadhani ni hivi hivi. sema natumia mchina ningekurejesha kwenye uzi flan hv unasema "charminglady nini siri ya umaarufu wako jf" chezeya mimi wee!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Wangu niambie ukweli, usijali kama utaniuma au lah!
Je mimi meniendea kwa sangoma au ni Mapenzi ya ukweli?

Please wangu nahitaji kujua hili nijue chakufanya dawa zikiisha!

we ulisha lishwa shuntama/genda garuka,nashanga unauliza mafisad ccm
 
jasiri aachi asili wee! BAGAH & Ruhazwe Jr. . . unadhani mpk C6 kadata unadhani ni hivi hivi. sema natumia mchina ningekurejesha kwenye uzi flan hv unasema "charminglady nini siri ya umaarufu wako jf" chezeya mimi wee!!!!!!

ha,ha,ha....unakoelekea utakuwa mama freemanson.kuna jamaa anaitwa wakati ndio sasa ulimchomea dawa ya kilo ngap?maana naona alikua amedata.
 
Last edited by a moderator:
ha,ha,ha....unakoelekea utakuwa mama freemanson.kuna jamaa anaitwa wakati ndio sasa ulimchomea dawa ya kilo ngap?maana naona alikua amedata.

yule nlikuwa namfanyia majaribio kwa dawa mpya, kumbe ikaleta majibu chanya. na kwa bahati mbaya ukiifanya hakuna kuizindua. ndo mana wns alidata mpk mwsh. na fyi akirud hapa ataanza tena. thou dawa ni nzuri bt najuta kuijaribu kwa mtu nisiempenda!
 
Last edited by a moderator:
Bishanga chezeiya african bluetooth ya waswahili a.k.a sayansi mwite wewe.
 
Back
Top Bottom