Wana JF
Napenda kujua kuhusu matumizi ya gesi katika magari badala ya petrol.
1. Ni kifaa gani kinahitajika kubadili mfumo kutoka petroli na kutumia gesi?
2. Je, ukifunga kifaa hicho unaweza kutumia tena petroli? Au vyote gesi na petroli kwa matakwa yako bila
kuhitaji marekebisho katika engine, kwa maana ya kuswichi kutoka petroli kutumia gesi au kutoka gesi
kutumia petroli?
3. Kiasi cha matumizi ya gesi kwa kilo/km yanafana na petroli kwa lita/km au ipi ni ndogo petrol au gesi kwa
kiwango kile kinachotumiwa (consumption) na gari husika Ltr/km?
4. Kifaa hicho kinapatikana wapi na hugharimu kiasi gani?
Ni matumaini yangu kuwa nitapata majibu husika, niweze kujiandaa kutumia utajiri wetu wa Gesi ya TZ.
Nawasilisha.