Msaada:Looking for an old friend

Lorna

Member
Dec 25, 2011
23
9
Habari zenu wana JF.
Ninamtafuta rafiki yangu aitwae Safiuna Msuya. Alisoma Mapambano miaka ya 1994 - 2000 na atakuwa in her early/mid twenties kwa sasa. Mara ya mwisho kuonana nae ilikuwa pale stendi ya Mwenge (wakati huo, mama yake alikuwa mmiliki wa moja ya saluni za maeneo hayo). Any leads will be greatly appreciated.
Natanguliza shukrani.
 
Umejaribu google?
Mgoogle kama yuko facebook utampata, au angalau unaweza find out anaposoma.
 
Una uhakika umepatia jina lake?
Maana kama aliendelea kusoma (bongo) ni rahisi kumpata kwenye list ya matokeo.

You see, the problem is hapa (bongo) you could start primary school with your dad's first name, go to secondary school with his last name, and attend university with your grandpa's. People's names hardly remain the same over time (i never know why).
Apart from that, i really have no clue kama aliendelea na shule (she most probably did) but, I have no way of knowing.
 
Kama ulikuwa unajua saloon yao its simple...nenda kaulizie eneo hilo, majirani zake watakuwa wanajua wapi mama huyo alihamia!
Na ukimpata mama ndo ushampata na mtoto!
 
Kama ulikuwa unajua saloon yao its simple...nenda kaulizie eneo hilo, majirani zake watakuwa wanajua wapi mama huyo alihamia!
Na ukimpata mama ndo ushampata na mtoto!

Wala sikumbuki jina la saluni na kwa sasa wamejenga duka la vyakula na vinywaji so, dead end there too.
 
Hahahahah lol! Hujambo Safiuna? Mapochopocho ya Xmas ni aje? Hujavimbiwa? Haya usiku mwema Safiuna :):)

:focus:

sijambo BAK, mtu mwenyewe haniamini. Ngoja niuchune isijekuwa ananitafuta anipige mizinga. Lol.
Sikukuu niaje pande hizo?
 
sijambo BAK, mtu mwenyewe haniamini. Ngoja niuchune isijekuwa ananitafuta anipige mizinga. Lol.
Sikukuu niaje pande hizo?

Hahahahahaha lol! ogopa mkong'oto :):)...Pande hizi kuko salama salmini. Karibu Sambusa, Korosho, Nyama choma na pili pili kwa wingi (kama ni mtumiaji....)
 
Hahahahahaha lol! ogopa mkong'oto :):)...Pande hizi kuko salama salmini. Karibu Sambusa, Korosho, Nyama choma na pili pili kwa wingi (kama ni mtumiaji....)

tobaaa! Nimelowesha screen na mate.
 
Back
Top Bottom