BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,011
la la la la lah! Ngoja nitafute usafiri hapa. Mwambie mlinzi afungue geti kabisa. Lol
Haya gate liko wazi....Umeshastukiwa Safiuna alikuwa hana uchu wa kudondosha mate haraka haraka lol!
la la la la lah! Ngoja nitafute usafiri hapa. Mwambie mlinzi afungue geti kabisa. Lol
behaviour changes lorna.
Haya gate liko wazi....Umeshastukiwa Safiuna alikuwa hana uchu wa kudondosha mate haraka haraka lol!
Nah! At least not in that direction.
Serously jamani, help me find my friend.
hajui safiuna wa mwaka 2011 hawezi kuwa sawa na wa mwaka 2000. Nimekuwa sasa. Lol.
....Hahahahaha lol! umekuwa eeh! umekuwa nini?
nimekuwa mdada tofauti na kipindi kile. Lorna haniamini. Sijui nifanyaje BAK.
....Pole sana jaribu kumuelewesha, watu hubadilika ati!!!...naona na uchu wa misosi mizuri mizuri umeongezeka ukilinganisha na 2000
Nah! At least not in that direction.
Serously jamani, help me find my friend.
BAK & Husninyo: I really shouldn't be endorsing your diversions least I jeopardize ever finding my friend.
You two are fun though.
Mlikua hamna common friends ambao mpaka sasa hivi unawasiliana nao?Kama wapo jaribu kwao.
So you haven't made new ones to this day?Mhhhh. How do I put this.
I was kind of a weird kid (not in a bad way). In some cultures I would have been considered nerdy. I was home as soon as school was over and didn't really hang out at school that much. Plus, I transfered a lot to make matter worse. So, now you might realize why it is important to me that I find this girl. She was pretty much my only friend.
So you haven't made new ones to this day?
Aiseeee. . . . inabidi uchangamke kidogo bana maana kumpata huyo wakati hata jina huna uhakika nalo ni kazi. Find another among fellow nerds. . .
Maybe,maybe not.That would be pathetic, don't you think?
I am positive that is the name she used in primary school.
Maybe,maybe not.
There must be a reason you are so hung up on her, what makes her irreplaceable?
Maybe,maybe not.
There must be a reason you are so hung up on her, what makes her irreplaceable?
If you stay this focused she will show up before long... wish you luck...