Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,208
Hata mimi nasema hivyo kuanzia ma pub,.bar, mpka ma club na kuna hio.mitaa hiyo kama.Kama kuna Mkoa ambao leo hii nikiambiwa niuteue kuwa Kinara wa UKIMWI ( Solo Gitaa ) Tanzania nzima wala sitochelewa Kuutaja Mkoa wa Morogoro.
Hata mimi nasema hivyo kuanzia ma pub,.bar, mpka ma club na kuna hio.mitaa hiyo kama.
Mafinga
Mafisa
Chamwino
Huko ndo balaa wanawake wamekuwa kama kuku wa kisasa
Sijui sahivi hali ikoje huko
Morogoro ni balaa
Connection zipi hizo jaman🤣🤣Kule ndo balaaa sasa
Lodge ni 25K to 30K kulingana na Quality! Chini ya hapo utapambana na chawa wa kwenye sufi usiku mzima
Niliwah pishana na wSukuma hapo wanasmell kinyesi kbs...wanalalaga hapo
Hebu orodhesha bar kali za moro na hizo clubs mkuu...hahahaa...dah...Hata mimi nasema hivyo kuanzia ma pub,.bar, mpka ma club na kuna hio.mitaa hiyo kama.
Mafiga
Mafisa
Chamwino
Huko ndo balaa wanawake wamekuwa kama kuku wa kisasa
Sijui sahivi hali ikoje huko
Morogoro ni balaa
ila mim nahis nina shida mahali,nikitaka kuchukua lodge ya 30k akili inaniambia iyo 30k unapata balimi 15
Yote yanaweza kuwa majibu na sijui lodge nzuri kwako unaiangalia kwa perspective gani lakini mi nilikuta huduma safi na nimeipenda na nikahid pengine kama ningerudi ule mkoa ningefika paleLodge ya 14k haiwezi kuwa nzuri hata kidogo
Kuna mgeni mama alisema nimpokee then asbh aende ifakara kukwepa majukumu nikaamua kjmlaza hapo...ile naingia kuchek rooms nakuta koridoni kuna harufu ya kinyesi nikamuask mhudumu ..akasema mwenzngu acha tu hii gest wanapenda kufikia wasukuma so kuna mtoto alikuja amejisaidia...kuchek vyumba vibovu balaa tuvitanda tubayaaaa tudogoo mwe sikuaga ..feb hii mkuu!hakuna room ya 15k pale ..labda mnaangaliwa na sura zenu
Yaani ww gest ya 12k unaisifia hvyo? Hahahaa ukiishi karibu na mm uta!kuna lodge mwanza ukiingia unavua maviatu yako bila kuambiwa..sijui nikuelezeje
Moro naskia hakuna club kali na club naijua star park tu ile mpya ila ma bar yapo mengi hata mengine sijui majina na ni ya kawaida tu hakuna maajabu kivileHebu orodhesha bar kali za moro na hizo clubs mkuu...hahahaa...dah...
Badala akapate supu na Pepsi atoe mning'inio anaingia JF .MTU kaandika location-M mjin bado hajaonaHata kusoma huwezi?
Uhuni mwingi sana usiokuwa na maanaConnection zipi hizo jaman
Yote yanaweza kuwa majibu na sijui lodge nzuri kwako unaiangalia kwa perspective gani lakini mi nilikuta huduma safi na nimeipenda na nikahid pengine kama ningerudi ule mkoa ningefika pale
1. Kuna usalama ??
2. Maji ya moto (heaters) ?
3. AC ?
4. Packing ??
5. Mataulo masafi ??
6. Mashuka masafi ?
7. Usafi wa mazingira ??
8. Ambiance ??
9. Etc etc
1. Kuna usalama ??1. Kuna usalama ??
2. Maji ya moto (heaters) ?
3. AC ?
4. Packing ??
5. Mataulo masafi ??
6. Mashuka masafi ?
7. Usafi wa mazingira ??
8. Ambiance ??
9. Etc etc
1. Kuna usalama ??
Hapo nilipoenda usalama ulikuwepo ndio ..pia imezungukwa na ukuta
2. Maji ya moto (heaters) ?
Hapana
3. AC ?
Ipo feni ile ya juu ya umeme
4. Packing ??
Sio kubwa
5. Mataulo masafi ??
Ndio
6. Mashuka masafi ?
Ni masafi meupe
7. Usafi wa mazingira ??
Wako vizuri
8. Ambiance ??
Mandhari ni mazuri sio mabaya
9.plus wahudumu wako vizuri kuhudumia unasikilizwa
Hio ni chini ya 15
Nb
Sasa ukiwa na bajeti kama 20k na kuendelea unaweza kuta nyengine ndo zina kama heaters.
Sasa kama mtoa mada mwenye bajeti ya 15k anashindwa vip kui enjoy hapo