The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,669
Acha kumdanganya si kila jambo linapaswa kutatuliwa kwa subira! Yani MTU anaondoka na anamficha anakokwenda halafu una mwambia awe nasubira? Huyu ameshafanywa zuzu kabisa!
Ni bora amuache huyu msichana mapema hana choke hapa!
What makes you so sure? umeona kuna watu wametaja kazi za usalama wa taifa hapo juu?