Msaada kwenye tuta - sijielewi nilipofika

Msaada kwenye tuta - sijielewi nilipofika

Hakuna usalama wa taifa au wa kijiji hapo. Kwa kawaida ingekuwa ni usalama angetoa taarifa ya kuridhisha kiasi ambacho usingekuwa na maswali hata km ni undercorver. Anamegwa mahali, possibly na kibopa mwenye mafungu, bussiness man, cimeboss au kigogo wa govt, mme wa mtu aliyesafiri kikazi. Anakuona huenda ukawa mme au akaelemewa huko aliko, hana uhakika na maisha yake!

Acha pressure, hawezi kuwa bikira, kesha gegedwa sana tu kabla hajawa rafiki yako (km ni kweli). Wala usimchunguze, utatangilia mbele ya haki kabla ya muda wako. Amua, km unamhitaji usubirie, apate muda ukae naye, ujue kama ameharibika. Iwapo atakufaa, tumia kanuni tulivu za kumfanya akutamani na kukuona rafiki na hapo ndo taratibu mnyoshee mstari.
 
Sijui kama nimeelewa kama walivyoelewa wengineo lakini kwa mtazamo wa haraka haraka sidhani kama kuna hatua yoyote katika mahusiano yenu ambapo mlitongozana...

Nimejitahidi kusoma kwa makini na nilichoona hicho unachokiita mapenzi kwa sasa bado hakipigwa muhuri wa uthibitisho...

Wewe unaamini unapendwa hata huyo bi mkubwa naye anaamini vivyo hivyo, lakini kwa kuwa hamjawekana bayana naona kila mmoja yu huru na ratibaze binafsi...

Hivyo ndugu nakushauri kama wampenda huyo binti basi huna budi kumtongoza na kumueleza namna unavyojisikia kwake, namna unavyotaka maisha yenu yawe...

Mengineyo msome King'asti so far naona ushauri wake hajamung'unya maneno...
 
Last edited by a moderator:
do not make decisions out of fear....endelea kuwa nae...ukweli utaujua tu...kama ana mtu au hana..utajua tu good things come to those who wait.....umeshakaribia kufika keep going....

Wow i like it 🙂
 
Kila mtu na majaribu yake, akina Bushoke wanaweza wasiishe dunia hii. Angalia usijekuwa umechumbia escort gal!!!
 
sadhani huyo anakupenda ki hivyo,yeye ana wake wa moyoni,wewew ni rafiki wa kawaida sana kwk ingawa wewe unahisi anakupenda sana....
 
Mmmh, binafsi napenda mwanaume mkali na possessive. Unamuitaje mpenzio kama anasafiri na hujui ameenda wapi, anafanya nini na anarudi lini, na hauna free access ya simu? Huo ni ubushoke bwana.

Mimi ni mwanamke, take it from me. Uko kwenye point ya kutengeneza ama kuvunja mahusiano. Chora mstari. Mwanaume ambaye ananifaa mimi angesema hivi: kama mimi ni mpenzio, nataka kujua uko wapi, unafanya nini na hata kama hamna tarehe kamili ya kurudi i demand kuwa updated. Sio kwa sababu ya wivu tu lakini ni kwa sababu nakupenda na nakujali. Otherwise im your casual friend, nikiwa na nafasi nitakupigia na wewe ukiwa na nafasi nipigie. Staki malalamiko. Period!

Hapo utazijua mbivu na mbichi na zilizooza mapema! Hivi unakuwaje na mpenzi anasafiri na usimpeleke airport ama ubungo? Mapenzi yenu ya kisikuhizi uvivu umewajaa sijui hata kunjunji kama hamtumii playstore applications hakyamama!

kwanza ataanzia wapi kuondoka bila ya kuniaga....! ah kwangu hakuna room ya mchezo kabisa....!
 
sadhani huyo anakupenda ki hivyo,yeye ana wake wa moyoni,wewew ni rafiki wa kawaida sana kwk ingawa wewe unahisi anakupenda sana....

Hakuna kipimo cha upendo ila unaweza kupima hisia za mpenzi wako mara mnapokaa muda bila kuonana. Lakini pia kwa kuzingatia ni kitu gani kiliwaunganisha. Siwezi sema kwa umri niliomkuta nao mimi nitakuwa wa kwanza ila nadhani mpaka kukaa muda huo ili itokee siku moja nimuone ilikuwa kama mpango wa Mungu.
Yeye ana asili ya familia bora, mimi nina asili ya ukulima mtoto wa mkulima na mkulima kwelikweli. Kujuana naye sikutumia hali ya kimaisha niliyonayo bali nilijaribu kujificha kuwa mtu wa kawaida ili nijue kuwa ananipenda mimi na si hali yangu kimaisha. Katika hilo alifaulu kwani pamoja na zawadi ya magimbi na mahindi mabichi hakunishangaa bali alizidi kuniagiza nimletee nikitoka shamba (nilikuwa nanunua sokoni nadanganya nimevitoa shambani kwangu). Hiyo hali ilinifanya nimuamini sana na kumuona wife material ingawa anatoka sehemu wanakokaa watoto wa isidingo the need.
Bado siamini kama ana mpango wa kando ila nitazingatia ushauri wenu ili makosa ya sasa yasinigharimu kujuta mpaka kaburi.
 
Jamani njooo kwangu(just jokin)

Mapenzi sio game of chance, ni kitu halisi na wengine hujitoa roho wanapokuwa dissappointed. Mimi sio mtu wa hivyo ila napiga moyo konde ingawa jana nilikosa usingizi, nashukuru mwana JF mmoja alinipa maneno ya busara usiku huo na baadae nikajitupa kitandani mida ya saa tisa na kazi leo imeenda vizuri in my full capacity.
 
Mmmh, binafsi napenda mwanaume mkali na possessive. Unamuitaje mpenzio kama anasafiri na hujui ameenda wapi, anafanya nini na anarudi lini, na hauna free access ya simu? Huo ni ubushoke bwana.

Mimi ni mwanamke, take it from me. Uko kwenye point ya kutengeneza ama kuvunja mahusiano. Chora mstari. Mwanaume ambaye ananifaa mimi angesema hivi: kama mimi ni mpenzio, nataka kujua uko wapi, unafanya nini na hata kama hamna tarehe kamili ya kurudi i demand kuwa updated. Sio kwa sababu ya wivu tu lakini ni kwa sababu nakupenda na nakujali. Otherwise im your casual friend, nikiwa na nafasi nitakupigia na wewe ukiwa na nafasi nipigie. Staki malalamiko. Period!

Hapo utazijua mbivu na mbichi na zilizooza mapema! Hivi unakuwaje na mpenzi anasafiri na usimpeleke airport ama ubungo? Mapenzi yenu ya kisikuhizi uvivu umewajaa sijui hata kunjunji kama hamtumii playstore applications hakyamama!

King'asti, napenda sana maneno yako. Kuna aina nyingi za watu si wote wanapenda kumilikiwa kuna wengine wanapenda kuwa na maamuzi yao. Kwa mfano wenzetu weupe kuna kipindi huwa mwanamke anakuwa outing yake na marafiki zake wa kike without boys around vivyo hivyo wanaume. Hiyo ni tabia ya gender equality ingawa kimsingi hatuwezi kuwa sawa. Nadhani kuna wanawake wana siha za kiume na hao ni ngumu kuwa meneji. Sijajua wa kwangu anaangukia fungu gani ila nitajifunza kitu kwake. Nyumba nyingi zinavunjika kwa kuwa mke na mme wanapigania kuwa sawa.

Naona mapema mno kumhukumu mtu wangu ila nadhani muda ukifika nitatoa hukumu yangu si kwa kumuonea mtu bali kwa usawa ili kila kitu kiende sawa.
 
nahisi unalelewa na huyo binti... na kama siyo kakuzidi kipato una inferiority tayari kiukweli huyu kama unataka awe mke wako usikubali,,, umeshaanza vibaya tafuta mwingine hakikisha mpenzi wako unakuona kichwa na si mkia ..... be a man
 
Je, hiyo inatosha kum-disqualify huyo mtu??
Kimsingi silelewi na huyo binti na kama ni kipato nimemuacha mbali (sijisifii), at the age 30's nina modern houses na mausafiri. Nina nafasi nzuri kazini kwangu. N'way hiyo sio sababu ya mapenzi na wala haiendani na kupendwa kwani ingekuwa hivyo mimi ninaweza kumruhusu kufanya shopping Woolworth kila wiki na mambo yote yakiendelea. Sina njaa ya chakula nina njaa ya mapenzi tu, nahitaji kupendwa. Labda hicho si kipande changu na kama si hivyo kutakuwa na circumstances za kutuweka mbali.

Sidhani kama nina inferiority complex kwa ajili ayke, lililo la ukweli namweleza na huwa ananisikiliza ni hili tu ndo tumetokea kupishana. Aliwahi kuwa na safari nikamkataza na akakubaliana na mimi. Why now???
Code:
 
Hukutoa information za kutosha ila naona kama bado upo inferior na unahisi kuwa kwa kuwa unamali unaweza kumcontrol any way take my word .... umeshamkosea from begining any way u know her much better than me... still u sound inferior to her pole sana
 
Back
Top Bottom