mapengo junior
JF-Expert Member
- Jun 28, 2011
- 1,135
- 276
jenga nchi....akikutafuta kuwa mpole...utakuja kujua tu black and white
Uwiiiii!!!!Nimekupenda bure.
Miezi 6 hawaambiani hata destination za safari zao? Huyu kaka kainamishwa, na akiendelea hivi hata walioana yeye ndio atakuwa mama wa nyumbani.
Hukutoa information za kutosha ila naona kama bado upo inferior na unahisi kuwa kwa kuwa unamali unaweza kumcontrol any way take my word .... umeshamkosea from begining any way u know her much better than me... still u sound inferior to her pole sana
jenga nchi....akikutafuta kuwa mpole...utakuja kujua tu black and white
Huyo yawezekana kaenda kuabort. Ila ushauri tuu mkuu.
Sina elimu ya saikolojia ila nina ufahamu kidogo juu ya saikoloji ya maisha na ni msomaji mzuri wa vitabu vya kisaikolojia. Kuna mambo mengi nimejifunza sana kuhusu watu na huwa sipendi kuwa juu ya mtu kwani kwangu hata kichaa ana thamani na ninamuona kama wengine (si katika mahusiano). Wengine kwanza kwangu ndo mtindo wangu wa maisha ila linapokuja suala la kimaendeleo najali sana maendeleo ingawa huwa napenda watu wote wafanikiwe. Na kwa hilo nimewafanikishia watu wengi kupata pesa kupitia kuwasaidia ku-plan biashara zao. sometimes kuwa inferior kumenifanya kuwa hapa nilipo kimaisha ingawa siko down kiasi hicho. Believe me, napenda kujua watu wengine wana feel vipi katika hali kama hiyo ndo maana nimeona huu ni uwanja sahihi kuzungumza. You are among great thinkers, yes, it sound like that. Ingawa sometimes tunakuwa pessimistic tunapo address matatizo ya wengine.
Nadhani alishaelewa ninavyoshughulika na matatizo kama hayo na hata sasa ameniomba msamaha ingawa sijazungumza naye kujua ni nini kimetokea mpaka hali hiyo ikajitokeza. Muda ndo utaamua, tumekutana tukiwa wakubwa sidhani kuna kila haja ya kuchafua furaha ya maisha ya mwingine, nikiona namboa nitamwacha aendelee na maisha yake la kama atataka kuwa kwenye himaya yangu nitamkaribisha si kwa ajili ya kumnyanyasa ila kwa ajili ya kumpenda na kumlinda.
Mmmh, binafsi napenda mwanaume mkali na possessive. Unamuitaje mpenzio kama anasafiri na hujui ameenda wapi, anafanya nini na anarudi lini, na hauna free access ya simu? Huo ni ubushoke bwana.
Mimi ni mwanamke, take it from me. Uko kwenye point ya kutengeneza ama kuvunja mahusiano. Chora mstari. Mwanaume ambaye ananifaa mimi angesema hivi: kama mimi ni mpenzio, nataka kujua uko wapi, unafanya nini na hata kama hamna tarehe kamili ya kurudi i demand kuwa updated. Sio kwa sababu ya wivu tu lakini ni kwa sababu nakupenda na nakujali. Otherwise im your casual friend, nikiwa na nafasi nitakupigia na wewe ukiwa na nafasi nipigie. Staki malalamiko. Period!
Hapo utazijua mbivu na mbichi na zilizooza mapema! Hivi unakuwaje na mpenzi anasafiri na usimpeleke airport ama ubungo? Mapenzi yenu ya kisikuhizi uvivu umewajaa sijui hata kunjunji kama hamtumii playstore applications hakyamama!
Dah,kweli leo umefunguka mwana!!
Hawa chips yai rojo waskuizi wanashangaza sana,haieleweki wa kiume nani wa kike nani?Mpaka hapo dalili zote alizoonyeshwa eti amechanganyikiwa hajui nini kinaendelea!!Haya bwana mleta thread.
Nimekupenda bure.
Miezi 6 hawaambiani hata destination za safari zao? Huyu kaka kainamishwa, na akiendelea hivi hata walioana yeye ndio atakuwa mama wa nyumbani.
mimi ndio niikua wa kwanza ku comment,kuhusu usalama wa taifa,ila hawa ama sisi wanaume wa sasa ni maluga luga,nimemaliza,wanawake hongereni sana,endeleeni mtindo huo,labdaa
Kuabort??? Hapana, ametoka kwenye siku zake hivi karibuni na mimi ni shahidi wa hilo. Ila tu kuna mambo ya kutilia shaka The Boss alikuwa wa msaada mkubwa sana kwangu ile jana usiku wakati nimewaza vibaya. Nayafanyia kazi na majibu yatapatikana. Nimepewa nafasi ya kuzungumza ila sijataka kufanya hivyo.
Ndugu, umeomba ushauri lkn pia unapingana na unayoelezwa kumtetea au kutetea decision ambayo unayo kichwani ya kuendelea kuwa nae.
Am a woman, that lady has somethin fishy going on. Mwanamke aki kupenda kweli na ukanpa security ya kutosha trust me our mouths are big we cant keep quiet! haezi kukuacha gizani kabisa usijue alipo hata kukupa clue achia mbali anachoenda kufanya kama ni wewe peke yako uko nae. Hatuna ubavu wa kuji hold kwa siri namna hiyo when love is for real. Seems unajaribu kulazimisha kumuamini same time unajiuliza na kupingana na wazo la anaeza kuwa na mwingine, women are talented bora uumie mapema yaishe kuliko uumie baadae na muda ushaenda.
kama sijakuelewa hivimimi ndio niikua wa kwanza ku comment,kuhusu usalama wa taifa,ila hawa ama sisi wanaume wa sasa ni maluga luga,nimemaliza,wanawake hongereni sana,endeleeni mtindo huo,
Ndugu, umeomba ushauri lkn pia unapingana na unayoelezwa kumtetea au kutetea decision ambayo unayo kichwani ya kuendelea kuwa nae.
Am a woman, that lady has somethin fishy going on. Mwanamke aki kupenda kweli na ukanpa security ya kutosha trust me our mouths are big we cant keep quiet! haezi kukuacha gizani kabisa usijue alipo hata kukupa clue achia mbali anachoenda kufanya kama ni wewe peke yako uko nae. Hatuna ubavu wa kuji hold kwa siri namna hiyo when love is for real. Seems unajaribu kulazimisha kumuamini same time unajiuliza na kupingana na wazo la anaeza kuwa na mwingine, women are talented bora uumie mapema yaishe kuliko uumie baadae na muda ushaenda.
We Bushoke njoo huku uone ma-ushauri yaliyoenda shule. Hii ndo JamiiForums bana kabla ya kuanza kazi lazima nipitie humu kula nondo. Nahiisi kwa meseji hii mtoa mada ataelewa!!!
Napenda kuwashukuru wote waliochangia mada yangu hii. Najua mliacha shughuli zenu kujishughulisha na taabu zangu na machungu yangu yakawa yenu. Kwa hakika ni moyo wa upendo kuvaa uhalisi wa tukio ili kuweza kutoa maoni yenye mashiko. napenda kuwashukuru mmoja mmoja The Boss, Nantes, mshana jr, Ngwananzengo, King'asti, Shabobabo, truddy, Heaven on Earth, bisharo, Kaunga, Kongosho, Anna Mosha, spade4spade, watu8, Mamaafacebook, Goboshi, daffy, kabanga, Mtoto halali na hela, miss chagga, boniface salim, mkwezi kidonda, mapengo junior, Ennie, michepuko, little hulk, Usedcountrynewpipo na wengine kama wapo na nimewasahau kuwataja si makusudi bali nitakuwa nime-overlook. Nawashukuru wote hata wale waliopita kusoma natumai katika mioyo yao walizungumza kitu fulani.
Kuna mambo mengi nimeyafanyia kazi na huu ni mrejesho wangu. Ingawa sijatoa hitimisho kwani itabaki kuwa siri yangu mpaka hapo nitakapojiridhisha. Nimefanikiwa kuongea na mchumba kama mara tatu hivi na maongezi yetu hayakuwa mabaya sana ingawa bado kuna vitu vya kufanyia kazi.
1. Mhusika anaishi mbali na baba yake mzazi na nilichojifunza na ambacho hataki kukisema ni kuwa baba yake huyo walikuwa hawajuani tangu amezaliwa. Safari hii ni kwa ajili ya kufika kwa baba yake ingawa hataki nijue anaishi wapi huyo baba yake kwa sasa
2. Aliahidi kunijulisha juu ya safari yake na kilichotea huko pindi akirudi ingawa mimi sijarizika na maelezo yake
3. Amekuwa huru kuongea muda wowote na hata usiku ingawa siri imebaki kuwa hiyo
4. Je, ni kweli ananipenda ama niko kwenye foleni na huenda namba yangu ni ya kumi na mbili katika wana wateule
5. Chupa ikiwa na maji yakamwagwa haiwi wazi hewa (air) hukava nafasi - je, mimi ni air na si kimiminika cha kujaza nafasi hiyo????
6. Maswali hayo na mengine ninayojiuliza yanasubiri majibu in two or three weeks time.
NB: Nimehangaika ku-tag majina bila mafanikio ila nadhani nilichofanya kinatosha kuwatambua watu wangu.