Msaada kwenye tuta - sijielewi nilipofika

Msaada kwenye tuta - sijielewi nilipofika

Duh kumbe kuna mlisho nyuma.
Bado naamini a face to face talk itakuwa na majibu mazuri. Theory yangu ina hold water bado. Hasa hiyo ya KUKUFICHA MAHALI ALIPO.
 
Nimeisoma hii mada nikagundua kitu kuna mahusiano makubwa katika tabia za wanawake...mie binafsi ishawahi ya kunikuta ya hivyo hivyo kama yaliyokukuta.
Ila kwangu mie kwa vile ni mtaalamu wa mambo ya kiakili mie nilimfanya kama sample nikaamua kutii kwa kila kitu, akisema hataki ni mpigie simpigii basi nikamchunguza nikagundua kuwa aliwahi kuwa na mtu ambaye kwakwe yeye huyo mtu alikuwa na power kubwa tu na alisha mtisha so kwangu yeye ali act kama loop hole,
Kingine ambacho nimekigundua kwako ni kwamba huyu mwanamke alikustudy akaona kuwa unajua mengi na huenda ukamjua kiakili hivyo kuzifahamu siri zake nyingi kutokana na usmart either katika ku argue and logic au kusoma then akawa inferior..
Chakufanya amua mwenye ila hizo ndo possible truth
 
"....akaniuliza ninataka tuongee nini?"

Mimi nadhani only time will tell...

NB: Letting go doesn't mean you don't love her no more.
 
hehehe, i know you love my bhange na sio mimi, ila nimeridhika tu mweeh!
wifi AshaDii huwa ananiambia anapenda 'alpha male'. Mwanaume lazma amark territory bwana. Mtu wa kunipigia mara moja kwa mwezi halafu anajilalamisha ooh hunipendi! Nnaempenda naongea nae kila baada ya nusu saa! Hizi bunduki sio kwenye malavi davi bwana, ndani mlainiiiii
:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
Nimekupenda bure.

Miezi 6 hawaambiani hata destination za safari zao? Huyu kaka kainamishwa, na akiendelea hivi hata walioana yeye ndio atakuwa mama wa nyumbani.
 
Last edited by a moderator:
Mwenzio kawekwa kwenye hold huko aliko sasa ni zamu yako. Wangapi wamejulia baba zao ukubwani na wanaongea kuna siri ktk hilo dunia ya leo?
Listen to ur inner voice coz its the right one.

Kuna ukweli kwenye hili, ila nadhani muda utaniambia. Si lazima niwe sarcastic kwa sasa ila muda ukifika nitampa msimamo wangu.
Siri ya nini??? Jumbe
 
"....akaniuliza ninataka tuongee nini?"

Mimi nadhani only time will tell...

NB: Letting go doesn't mean you don't love her no more.

Nitaufanyia kazi ushauri wako. I need to settle the matter graciously no matter what has transpired
 
Nimeisoma hii mada nikagundua kitu kuna mahusiano makubwa katika tabia za wanawake...mie binafsi ishawahi ya kunikuta ya hivyo hivyo kama yaliyokukuta.
Ila kwangu mie kwa vile ni mtaalamu wa mambo ya kiakili mie nilimfanya kama sample nikaamua kutii kwa kila kitu, akisema hataki ni mpigie simpigii basi nikamchunguza nikagundua kuwa aliwahi kuwa na mtu ambaye kwakwe yeye huyo mtu alikuwa na power kubwa tu na alisha mtisha so kwangu yeye ali act kama loop hole,
Kingine ambacho nimekigundua kwako ni kwamba huyu mwanamke alikustudy akaona kuwa unajua mengi na huenda ukamjua kiakili hivyo kuzifahamu siri zake nyingi kutokana na usmart either katika ku argue and logic au kusoma then akawa inferior..
Chakufanya amua mwenye ila hizo ndo possible truth

Mkuu itara, nashukuru kwa analysis yako.
Naona ka ukweli fulani na umezungumza kitu kwa mfano hai na zaidi ya hapo kuna sehemu umegusa nami nikashtuka. Being smart, n'way huwa sipendi ligi na mtu ila I'm very smart to my level of understanding. Sijui kama she is trying to hide something or she is just waiting for her perfect partner to come.
If she is trying to make fun of me, she will surely regret because I don't let people step on my shoulders to pick the ripe fruit. I will try to play even smarter
 
Duh kumbe kuna mlisho nyuma.
Bado naamini a face to face talk itakuwa na majibu mazuri. Theory yangu ina hold water bado. Hasa hiyo ya KUKUFICHA MAHALI ALIPO.

Nami naamini hivyo ingawa it is becoming difficult with time. Na itachukua muda kuonana kwani nami nimesafiri kidogo kwa hiyo atakapokuja sitakuwepo.
Penye miti hapana wajenzi!!!!
 
wala usikonde, mtu kama huyo tena unam-block kabisa akirudi atakutafuta kwa wakati wake. baada ya hapo atajielewa tu
 
so amazing world,in fact anataka kukutawala hana lolote,be strong tafuta kanje cup kamoja tuu meen
 
so amazing world,in fact anataka kukutawala hana lolote,be strong tafuta kanje cup kamoja tuu meen
Sometimes when you hate something you duplicate similar cases. Sina uhakika kama itakuwa suluhu kwa maisha yangu ama yake. Ila kauli njema hujenga nyumba. Unaweza kujenga ghorofa la bilioni 2 ila usingizi ukawa wa shida sana kupata. Napenda kujenga nyumba ya gharama nafuu ila nahitaji kukaa kwa amani na nipate usingizi tele. Kaka yangu alienda kijijini kuoa mwanamke wa kijijini ila sasa huyo mwanamke anataka kuwa mwenye nyumba na kaka yangu hana raha kabisa akimgusa kidogo anamtishia kugawana mali na kaka inamuuma kwakuwa alioa mama wa nyumbani na hana msaada wowote kwenye kutafuta mali zaidi ya kupika chakula na kumsimanga mume wake kwa mali alizotafuta.
 
hahahahahah,mapenz kweli yanachanganya watu. Mkuu ukiona sign kama hzo ujue demu wako yupo kwa mshikaji 95% uhakika.next tym usiwe unajitupia mzima mzima kuwa na timing love.
 
Kuna mdau kakuambia huenda ni mtu wa usalama wa taifa. Ninavyoona ni kweli coz nilikuwa na mtu kama huyo, madepression na mastress niliyapata sana. Na hata alivyokuja kuniambia nature ya kazi yake; l tried but it didn't work.
Kitendo cha kutokuonesha ticket, kutokuambia aliko ni typical style yao.
As The Boss said, tulia relax ukiweza na mwisho wa siku mambo yatakuwa sawa tu.
Ila watu wale wana maisha magumu hadi unawahurumia.

Sidhanii kuna ukweli katika hili,,,,, usalama wa taifa anakuaga na anakuambia anakwenda wapi.....but she/he change the route akiwa mbele kwa mbele, mtachati mda wote, ila akiwa kwenye special issue, utasikia hold, hata kama ni nje ya nchi, wana code zao yuko SA but roam no.... inakwambia yuko tanzania.....kikubwa jamaa keshalizwa huyo......ajipange kusonga mbele tuu......muda hausubiriii
 
kaka songa mbele,,, haiingii akilini, kwanza hakupi uhuru wa kuwasiliana nae,,,,, pili hata alipo hujui!!!!!! hakuna love hapo mangi.....unalizwa hapo
 
Huyu wala si mpenzi wako kama unavyo jaribu kusema!

Wewe umeshafanywa zuzu hata kabla ya ndoa!
Samadhi lakini.
 
do not make decisions out of fear....endelea kuwa nae...ukweli utaujua tu...kama ana mtu au hana..utajua tu good things come to those who wait.....umeshakaribia kufika keep going....

Acha kumdanganya si kila jambo linapaswa kutatuliwa kwa subira! Yani MTU anaondoka na anamficha anakokwenda halafu una mwambia awe nasubira? Huyu ameshafanywa zuzu kabisa!
Ni bora amuache huyu msichana mapema hana choke hapa!
 
Ushauri wako nimeusoma na kuulewa. Natamani sana siku ifike nijue mbivu na mbichi. Sijui kuna kitu gani katika mapenzi kwani nahisi nimeshakuwa zoba. Ila najitambua na nitafanikisha malengo yangu. Kuna subra na timuatimua mara moja sijui nifanye lipi kati ya hayo mawili.
Before she left she gave a 2hrs kiss, that was a new experience of its own in ma life. But does that mean she love me
 
Inaonekana ww ni mpole sana na ameshakujua Kweli dunia ya leo usafiri bila mpz wako kujua unaenda wapi? Anabahati Ukipiga simu unahojiwa kama umepiga kituo cha polisi? Hili nalo linausianaje na kutomjua baba yake? Nakuonea huruma maana ww unainekana mtaratibu ila umepotea njia huyo mko wawili na hajafanya maamuzi bado so kuwa mpole kwa kuwa ulishakosea toko awahi akirudi iwe zamu yako nae huko ajibiwe kama ulivyojibiwa ww! Umepewa ushauri mwingi kaa na utafakari.
 
Back
Top Bottom