Msaada Kwenye Tuta: Mimi Mgeni Washington DC

Left Wing

Member
Joined
Mar 28, 2010
Posts
53
Reaction score
20
Wasalaam wana JF

Jamani nimekuja Washington nina kama wiki tatu hivi lakini napata tabu sana na Hili Jiji

1: Vyakula
2: Sehemu za kutembelea kufanya shopping ndogo ndogo kwa bei ya Chini

Nk

Natumai kuna wana JF wanaoishi hapa DC au waliowahi kuishi DC. Naomba msaada ili niweze kufurahia hii miezi michache nitakayokuwa hapa DC

Waweza kunipa contact au ukanitumia Private Msg

Asanteni
 
Tumia right wing

left wing awajazoea hao
 
Wasalaam wana JF

Jamani nimekuja Washington nina kama wiki tatu hivi lakini napata tabu sana na Hili Jiji

1: Vyakula
2: Sehemu za kutembelea kufanya shopping ndogo ndogo kwa bei ya Chini

Nk

Natumai kuna wana JF wanaoishi hapa DC au waliowahi kuishi DC. Naomba msaada ili niweze kufurahia hii miezi michache nitakayokuwa hapa DC

Waweza kunipa contact au ukanitumia Private Msg

Asanteni

Ndiyo uzuri wa JF. Ali mradi umeiweka hapa basi utapata msaada kabla hata siku haijaisha.
 
Back
Top Bottom