RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,734
- 11,461
Huyo harusiwi,Anaeruhusiwa ni mwenye point 4 kwenye masomo mawili na sio matatu.Mbona watu wanakuelimisha lakini umegoma kuelewa.mbona wengine wana andikiwa not passed A-level result kama una hyo DEE