enock yusto
JF-Expert Member
- May 28, 2014
- 377
- 342
hapana mkuu apa umekosea E=50-54,D=55-64,C=65-74,B=75-80,A=81-100Sijaona slip, lakini mwongozo wa necta kuhusu madaraja ya kidato cha sita 2016 unasema E ni 40-49 na ni Satisfactory.
hapana mkuu apa umekosea E=50-54,D=55-64,C=65-74,B=75-80,A=81-100Sijaona slip, lakini mwongozo wa necta kuhusu madaraja ya kidato cha sita 2016 unasema E ni 40-49 na ni Satisfactory.
Kwa nn umeweka neno wa "kike "Wanahitaji principales 2 ili ujiunge chuo kikuu kuchukua degrée kwa Wale waliomaliza form 6 2016 na principe inaanzia D mpaka À.... Mdogo wangu wa kike kasoma PCM ana CEE na wamemzingua kuanza degrée.
Acha kupost vitu ambavyo huna uhakika navyo weka source na ''uwongo wako huo' ili tukuaminihapana mkuu apa umekosea E=50-54,D=55-64,C=65-74,B=75-80,A=81-100
Mwongozo wa Necta 2016 unapatikana kwenye site yao tafuta ujionee mwenyewe.hapana mkuu apa umekosea E=50-54,D=55-64,C=65-74,B=75-80,A=81-100
C na E unaenda chuo according to guide bookalafu hiyo C+E sio pass ya kwenda chuo maana ake mwenye three ya 14 chuo kikuu atasikia tu
Wewe utakuwa unaomba kusoma md labda, ndio maana wamekuzingiaWanahitaji principales 2 ili ujiunge chuo kikuu kuchukua degrée kwa Wale waliomaliza form 6 2016 na principe inaanzia D mpaka À.... Mdogo wangu wa kike kasoma PCM ana CEE na wamemzingua kuanza degrée.
amepata 3 ya 14hyo unaijua ni ngap?
Anadai kaambiwa hajafaulu kuanza kuchukua degrée kutokana na maelezo yake na ameshapply kupitia cheti cha form 4 anaenda kuanza Sijui diploma .Ningependa kujua wamemzingua vipi na wapi ili tujue tatizo liko wapi kwani kama ni hivyo kuna tatizo kwenye mfumo wao (TCU) au TCU wametudanganya. Je mmelifuatiliaje hili? Principal ya 2016 inaanzia E hii pia ni kutokana na andiko la NECTA na ndio maana ufafanuzi niliotaja hapo juu wamesema (TCU) CE inakubalika na ni point nne. Itabidi kujua ameomba kusomea nini na ufaulu wake ukoje form 4 na form 6. Kama hutajali unaweza kuni PM.
Hapo kwenye nyekundu umekosea D(2) + E(1)=3TCU points kwa masomo 2. Kwa hiyo ingawa total ana 4 points lakini TCU wana-angalia kwanza hurdle ya 4 points from 2 subjects. Ukivuka hiyo ndio wanapiga hesabu za point zako zote. Kama hukuvuka hapo ndio mwisho wa consideration. Hivyo inatakiwa DD au CE hizo ndio za chini kabisa.Wenye hz points wote wanaaply vyuo.
1.DDE dvs 3 ya 13
2.DDS dvs 3 ya 14
3.DEE dvs 3 ya 14
4.DDF dvs 3 ya 15
5.CEE dvs 3 ya 13
6.CES dvs 3 ya 14
7.CEF dvs 3 ya 15
Haya nadhani nmemaliza mgogoro hapo jamani.
Mwenye swali aulize please.
TCU SYSTEM IS AGAINST NDALICHAKO.
TCU SYSTEM LOOK FOR 4 CUTT OFF POINTS AND NOT ATHOR WISE.
Na ndo maaana koz zaafya zmekua na compttn kubwa from other applicants saabu wameomba wengi hadi dvsn 3 ya 15.
Ila ingekua n DD basi compttn from other applicants ingepungua.
Unapata nafasi ya kufnya udahili sawa lakini walidai haswa huyu waziri wao Kwamba Kama huna principal mbili unaanzia diploma na sio degree.Lakini mkuu...
Mbona walitoa ufafanuzi ambao ulionesha kuwa mtu atakayepata nafasi ya kufanya udahili ni yule ambae ana point 4 katika masomo mawili...
Yaani bila kujali hizo point 4 zinapatikanaje...
Hiyo inamaanisha hata mwenye CEE anakuwa na nafasi ya kufanya udahili,kwani ukichukua C na E unapata point 4 zinazohitajika...
Labda kama ilikua ni DANGANYA TOTO..!
kwenye DEE hapo mkuu umetudanganyaWenye hz points wote wanaaply vyuo.
1.DDE dvs 3 ya 13
2.DDS dvs 3 ya 14
3.DEE dvs 3 ya 14
4.DDF dvs 3 ya 15
5.CEE dvs 3 ya 13
6.CES dvs 3 ya 14
7.CEF dvs 3 ya 15
Haya nadhani nmemaliza mgogoro hapo jamani.
Mwenye swali aulize please.
TCU SYSTEM IS AGAINST NDALICHAKO.
TCU SYSTEM LOOK FOR 4 CUTT OFF POINTS AND NOT ATHOR WISE.
Na ndo maaana koz zaafya zmekua na compttn kubwa from other applicants saabu wameomba wengi hadi dvsn 3 ya 15.
Ila ingekua n DD basi compttn from other applicants ingepungua.
Mimi ningeapply na CEE kwa sababu anakidhi vigezo vya kuomba chuo na hakuna wa kumtumbua kwani ndio vigezo walivyoweka wenyewe. Sasa kwa kuwa hatujui nani kamwambia hivyo na kwa msingi gani hatuwezi kulizungumzia zaidi.Anadai kaambiwa hajafaulu kuanza kuchukua degrée kutokana na maelezo yake na ameshapply kupitia cheti cha form 4 anaenda kuanza Sijui diploma .
TCU na ndalichako wanatofautiana tatizo linakuja ukilazimisha Kuapply na CEE si anaweza kuja kukutumbua siku za usoni?
Kwasababu ana jinsia ya kikeKwa nn umeweka neno wa "kike "