ameomba degree na tiyali amefungua account ya tcu anasubiri kuchagulia na amepata DEESasa huyo mdau sijui kapata chuo gani pengine diploma hatuuwezi jua mana huko nako chuo
ameomba degree na tiyali amefungua account ya tcu anasubiri kuchagulia na amepata DEESasa huyo mdau sijui kapata chuo gani pengine diploma hatuuwezi jua mana huko nako chuo
akiwa na principal mbilimara kwnza watu walizan had uwe na 2d's kutokana na kanganyiko tcu wakatoa guidebook nyingine ikisema ata mwenye C+E ana chukuliwa
Kamaliza mwaka gani kama mwaka huu katafute wa kumuongopeaameomba degree na tiyali amefungua account ya tcu anasubiri kuchagulia na amepata DEE
angalia hiyo screen shotKamaliza mwaka gani kama mwaka huu katafute wa kumuongopea
Naomba kufahamishwa kwa fom6 yeyote aliemaliza 2016 na ameshachukua result slip yake, Je ukipata daraja E unaandikiwaje?
Samahani kama nakusumbua hebu weka course alizojazaangalia hiyo screen shot
Samahani kama nakusumbua hebu weka course alizojaza
[/QUOTE hizo hapo
Mkuu wapo weng walioomba na hiyo pass markYupo mwanafunzi mwenzangu ambaye tumemaliza pamoja, na yeye ana C na E lkn amekubaliwa
mbona wengine wana andikiwa not passed A-level result kama una hyo DEEMkuu wapo weng walioomba na hiyo pass mark
ah kweli wameandikiwa ivo?? je wameruhusiwa kuomba chuo?mbona wengine wana andikiwa not passed A-level result kama una hyo DEE
ukichaguliwa basi ni system error tu kaka ila lazima uwe na D-2 ili udahiliweah kweli wameandikiwa ivo?? je wameruhusiwa kuomba chuo?
system haikubali kuapply ata ukiwa pigia simu watakupa jibu huna principal pass 2 ambazo ni D-2016,2014-2015,Cukichaguliwa basi ni system error tu kaka ila lazima uwe na D-2 ili udahiliwe
mbona system kwangu imekubali.... nilienda kwa mganga au??system haikubali kuapply ata ukiwa pigia simu watakupa jibu huna principal pass 2 ambazo ni D-2016,2014-2015,C
Watu wanawaelimisha lakini hamtaki kuelewa.Mimi nimemuombea mtu mwenye CEE na kakubaliwa.c+e labda diploma mtu yahitajika uwe na d2 ndo chuo kikuu
Wewe nimbishi sana na unapingana na ukweli.ukichaguliwa basi ni system error tu kaka ila lazima uwe na D-2 ili udahiliwe
Achana nae wengine wanatuletea ujinga ulio vichwani mwao wakihitaji nasie tuukubali.mbona system kwangu imekubali.... nilienda kwa mganga au??