Msaada kwa yeyote aliyemaliza form 6 2016

Msaada kwa yeyote aliyemaliza form 6 2016

Anadai kaambiwa hajafaulu kuanza kuchukua degrée kutokana na maelezo yake na ameshapply kupitia cheti cha form 4 anaenda kuanza Sijui diploma .

TCU na ndalichako wanatofautiana tatizo linakuja ukilazimisha Kuapply na CEE si anaweza kuja kukutumbua siku za usoni?
mwambie aombe tu na Kama alikosea arudie tena asione hasara kutoa elfu 50 CE imekubalika kama kigezo cha kwenda chuo kikuu japo ni minimum qualification ila kwa science haachwi huyoo
 
TCU hiyo kitu ni kama box fulani ivi ambalo lina maji aambayo sio rafiki kwa kiumbe hai. Yaani hilo box limetengeneza upepo alaf wanafunzi wote wanaufata huo.
 
TCU hiyo kitu ni kama box fulani ivi ambalo lina maji aambayo sio rafiki kwa kiumbe hai. Yaani hilo box limetengeneza upepo alaf wanafunzi wote wanaufata huo.
! .....box lililojaa upepo.....! Ahaa haaaaa haaaaaa
 
Muulize ambaye ana C,E,E kama ameruhusiwa kuomba chuo sasa hivi hapa wakijaza wanaambiwa haujafaulu ufafanuzi kuwa ana point 4 lakin HANA two principal pass upo??
Haya mambo cjui wapo vp rafiki zangu wawili wana matokeo sawa CEE C ya geo E histry na E eng wameapply na wepata na reference wanazo baada ya kuprint
 
Wenye hz points wote wanaaply vyuo.
1.DDE dvs 3 ya 13
2.DDS dvs 3 ya 14
3.DEE dvs 3 ya 14
4.DDF dvs 3 ya 15
5.CEE dvs 3 ya 13
6.CES dvs 3 ya 14
7.CEF dvs 3 ya 15
Haya nadhani nmemaliza mgogoro hapo jamani.
Mwenye swali aulize please.
TCU SYSTEM IS AGAINST NDALICHAKO.
TCU SYSTEM LOOK FOR 4 CUTT OFF POINTS AND NOT ATHOR WISE.
Na ndo maaana koz zaafya zmekua na compttn kubwa from other applicants saabu wameomba wengi hadi dvsn 3 ya 15.
Ila ingekua n DD basi compttn from other applicants ingepungua.
kaka muulize mwenye C,E,E vizuri maana now akiomba anaambiwa hajafaulu
 
Muulize ambaye ana C,E,E kama ameruhusiwa kuomba chuo sasa hivi hapa wakijaza wanaambiwa haujafaulu ufafanuzi kuwa ana point 4 lakin HANA two principal pass upo??
mara kwnza watu walizan had uwe na 2d's kutokana na kanganyiko tcu wakatoa guidebook nyingine ikisema ata mwenye C+E ana chukuliwa
 
Jaman tusizungumzie ushabiki mim si mdau wa form six ila mbona wakati tcu wanatoa ufafanuzi kuhusu hili swala la cut-point walisema mtu anatakiwa awe na minimum ya point nne katika masomo mawili na si lazima iwe DD hata CE na nyingine zinazofanana na hizi zinakubalika au wamebadilisha tena? na iweje wengine system iwakubali wenye CEE na wengine iwakatae? mim naona tatizo lipo kwa hao TCU kama tatizo ingekuwa point basi ingewakataa wote.
 
Wenye hz points wote wanaaply vyuo.
1.DDE dvs 3 ya 13
2.DDS dvs 3 ya 14
3.DEE dvs 3 ya 14
4.DDF dvs 3 ya 15
5.CEE dvs 3 ya 13
6.CES dvs 3 ya 14
7.CEF dvs 3 ya 15
Haya nadhani nmemaliza mgogoro hapo jamani.
Mwenye swali aulize please.
TCU SYSTEM IS AGAINST NDALICHAKO.
TCU SYSTEM LOOK FOR 4 CUTT OFF POINTS AND NOT ATHOR WISE.
Na ndo maaana koz zaafya zmekua na compttn kubwa from other applicants saabu wameomba wengi hadi dvsn 3 ya 15.
Ila ingekua n DD basi compttn from other applicants ingepungua.
Kuna mahali umeweka DEE hapo point 4 umepataje kwa Msaada mkuu
 
Chuo unaweza ukaomba hata kwa kuforce na EE zako lakn swali linakuja je utapata chuo?
Kwanza ilipaswa umuulize kuomba level gani ya huko chuo maana kwa maono yangu hapo kapata point 3 katika masomo mawili
 
Kwanza ilipaswa umuulize kuomba level gani ya huko chuo maana kwa maono yangu hapo kapata point 3 katika masomo mawili
Me najua ili uwende chuo at least uwe na D 2.kama advance level ili upge necta shule za private lazma use na credit tatu.haijalish MTU awe na A 2 kama huna credit tatu MTU hawezi sajiriwa.
 
Me najua ili uwende chuo at least uwe na D 2.kama advance level ili upge necta shule za private lazma use na credit tatu.haijalish MTU awe na A 2 kama huna credit tatu MTU hawezi sajiriwa.
Sasa huyo mdau sijui kapata chuo gani pengine diploma hatuuwezi jua mana huko nako chuo
 
1470905620548.jpg

hawa wanaokomaa kwamba ni lazima uwe na 2D's ndo uende chuo inamaana hawakuona hii Public Resolution notice ya tarehe 16 nini?, maana kuna mtu kakomaa huko juu kwamba kuna mtu ana C+E+E amekataliwa chuo, labda atuambie yeye ameenda ku aplly kwenye system gani
 
View attachment 379567

Ahsante-Hili bandiko limewekwa kwenye nyuzi nyingine na pia maelezo ya wapi kulidownload yalishawekwa lakini kuna watu wanataka kuamini wanavyo amini wao na usishangae ubishi ukaendelea. Subiri uone. Big up kutukumbusha. Somo hapa ukiona wazo lako linapingwa inabidi utafute source yenye uhakika kuliko kuendelea na argument. Huko chuoni mtajifunza kutofautisha mawazo yako na maandiko ya authorities ambayo unatakiwa utoe source yako au uweke bandiko kama mchangiaji alivyo fanya hapa juu.
 
Back
Top Bottom