alafu hiyo C+E sio pass ya kwenda chuo maana ake mwenye three ya 14 chuo kikuu atasikia tuE,D,C,B na A both are principle.
But minimum entry point for degree ni 4.0 ambayo ni sawa na D+D au C+E
Soma guide book vyemaalafu hiyo C+E sio pass ya kwenda chuo maana ake mwenye three ya 14 chuo kikuu atasikia tu
Ukiwa na C na E unapoint 4 (za TCU) ambazo hukufanya uwe eligible kuomba chuo kikuu. Selection yako itategemea na total score yako na ushindani uliopo. Ukiwa na 3:14 yenye CES (3+5+6=14) unaweza ukapata selection na una 4.5 points za TCU.alafu hiyo C+E sio pass ya kwenda chuo maana ake mwenye three ya 14 chuo kikuu atasikia tu
Sijaona slip, lakini mwongozo wa necta kuhusu madaraja ya kidato cha sita 2016 unasema E ni 40-49 na ni Satisfactory.Naomba kufahamishwa kwa fom6 yeyote aliemaliza 2016 na ameshachukua result slip yake, Je ukipata daraja E unaandikiwaje? principal pass, pass, satisfactor au unsatisfactor. Tafadhari kwa fom6 wa 2016 naomba ushilikiano wako please
Muulize ambaye ana C,E,E kama ameruhusiwa kuomba chuo sasa hivi hapa wakijaza wanaambiwa haujafaulu ufafanuzi kuwa ana point 4 lakin HANA two principal pass upo??Soma guide book vyema
Cha msingi ni point 4.0>>
mbona kuna rafiki yangu amepata DEE na ameruhusiwa kuomba chuo????Muulize ambaye ana C,E,E kama ameruhusiwa kuomba chuo sasa hivi hapa wakijaza wanaambiwa haujafaulu ufafanuzi kuwa ana point 4 lakin HANA two principal pass upo??
wewe umesoma guidebook na ata walioomba mapema wenye C,E,E walikubaliwa lakini maelezo ya ndalichako kasema anataka kwanza two principal pass kwanza ambazo ni D na wanao apply sasa hivi wanaambiwa kuwa hawajafauluUkiwa na C na E unapoint 4 (za TCU) ambazo hukufanya uwe eligible kuomba chuo kikuu. Selection yako itategemea na total score yako na ushindani uliopo. Ukiwa na 3:14 yenye CES (3+5+6=14) unaweza ukapata selection na una 4.5 points za TCU.
hyo unaijua ni ngap?mbona kuna rafiki yangu amepata DEE na ameruhusiwa kuomba chuo????
Unajua serikali inafanya kazi kwa maandiko-na andiko linalotuongoza ni lile la TCU (REVISED_ADMISSION_CRITERIA_2016_TCU.pdf) pamoja na ufafanuzi wake ( Clarification on the minimum admission entry qualifications for undergraduate students). Kwenye ufafanuzi ndiyo TCU ilipoweka wazi kukubalika kwa D2 au CE kwani vyote vinakupa point 4. Kwa hiyo sielewi hayo maelezo ya Ndalichako umeyatoa wapi. Labda uniambie kama TCU wametoa mwongozo mwingine.Nimecheck website yao hakuna kitu kama hicho.wewe umesoma guidebook na ata walioomba mapema wenye C,E,E walikubaliwa lakini maelezo ya ndalichako kasema anataka kwanza two principal pass kwanza ambazo ni D na wanao apply sasa hivi wanaambiwa kuwa hawajafaulu
Kwahyo Ukiwa na CE unaruhusa ya kuomba kujiunga na degree chuo kikuu ?Unajua serikali inafanya kazi kwa maandiko-na andiko linalotuongoza ni lile la TCU (REVISED_ADMISSION_CRITERIA_2016_TCU.pdf) pamoja na ufafanuzi wake ( Clarification on the minimum admission entry qualifications for undergraduate students). Kwenye ufafanuzi ndiyo TCU ilipoweka wazi kukubalika kwa D2 au CE kwani vyote vinakupa point 4. Kwa hiyo sielewi hayo maelezo ya Ndalichako umwyatoa wapi. Labda uniambie kama TCU wametoa mwongozo mwingine.Nimecheck website yao hakuna kitu kama hicho.
Huo ndio uelewa wangu kwani C+E inakupa point nne za TCU ambazo ndio mtu anatakiwa awe nazo ili aweze kuomba. Uki click hiyo link kwenye mchango wangu #12 itakufungulia ufafanuzi wa TCU.Kwahyo Ukiwa na CE unaruhusa ya kuomba kujiunga na degree chuo kikuu ?
Wanahitaji principales 2 ili ujiunge chuo kikuu kuchukua degrée kwa Wale waliomaliza form 6 2016 na principe inaanzia D mpaka À.... Mdogo wangu wa kike kasoma PCM ana CEE na wamemzingua kuanza degrée.Huo ndio uelewa wangu kwani C+E inakupa point nne za TCU ambazo ndio mtu anatakiwa awe nazo ili aweze kuomba. Uki click hiyo link kwenye mchango wangu #12 itakufungulia ufafanuzi wa TCU.
Ningependa kujua wamemzingua vipi na wapi ili tujue tatizo liko wapi kwani kama ni hivyo kuna tatizo kwenye mfumo wao (TCU) au TCU wametudanganya. Je mmelifuatiliaje hili? Principal ya 2016 inaanzia E hii pia ni kutokana na andiko la NECTA na ndio maana ufafanuzi niliotaja hapo juu wamesema (TCU) CE inakubalika na ni point nne. Itabidi kujua ameomba kusomea nini na ufaulu wake ukoje form 4 na form 6. Kama hutajali unaweza kuni PM.Wanahitaji principales 2 ili ujiunge chuo kikuu kuchukua degrée kwa Wale waliomaliza form 6 2016 na principe inaanzia D mpaka À.... Mdogo wangu wa kike kasoma PCM ana CEE na wamemzingua kuanza degrée.
Lakini mkuu...Wanahitaji principales 2 ili ujiunge chuo kikuu kuchukua degrée kwa Wale waliomaliza form 6 2016 na principe inaanzia D mpaka À.... Mdogo wangu wa kike kasoma PCM ana CEE na wamemzingua kuanza degrée.
Inaweza kuwa waliwafanyia wadogo zetu ile kitu inaitwa DANGANYA TOTO..!Ningependa kujua wamemzingua vipi na wapi ili tujue tatizo liko wapi kwani kama ni hivyo kuna tatizo kwenye mfumo wao (TCU) au TCU wametudanganya. Je mmelifuatiliaje hili?
Lakini mkuu...
Mbona walitoa ufafanuzi ambao ulionesha kuwa mtu atakayepata nafasi ya kufanya udahili ni yule ambae ana point 4 katika masomo mawili...
Yaani bila kujali hizo point 4 zinapatikanaje...
Hiyo inamaanisha hata mwenye CEE anakuwa na nafasi ya kufanya udahili,kwani ukichukua C na E unapata point 4 zinazohitajika...
Labda kama ilikua ni DANGANYA TOTO..!
Inaweza kuwa waliwafanyia wadogo zetu ile kitu inaitwa DANGANYA TOTO..!
Kweli kabisa mkuu...Inawezekana lakini sitaki kuamini kuwa TCU wamefanya danganya toto, ndio maana ningependa kujua kwa undani wamewakatalia vipi. Tuone wameomba nini na ufaulu wao ukoje F4 na F6. Ili kama kila kitu kiko sawa hii taarifa ipelekwe TCU wajieleze.